Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

Miaka 6 atakua alinunuliwa pipi tu, on a serious note nadhani lazima kulikua na ruhusa kutoka kwa wazazi au walezi ili yeye ashiriki

Hao ndo anatakiwa kuwauliza, kama walilipwa lazima walizipiga tu izo hela maana wazazi wa kiafrica mtoto wa miaka 6 utapewa Nini unadhani, kama walikubali aagize bure huyo ni ujinga wao

Kwa sa ivi hawezi kupata chochote maana hata Hio production company ya weintrub Kuna kipindi walitangaza imefilisika
Kama hata main character ambaye alikuwa ni mtu mzima hakulipwa ndiyo walipwe wazazi wa watoto, wale walichukuliwa poa kwa kuwa ni bushmen.
 
20230321_183335.jpg
 


She killed it here and made the reunion a heart touching moment. [emoji3061]
 
Leonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II.

Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo.

Wakati akiigiza filamu hiyo ya mwaka 1989, alikuwa na miaka 6 tu. Kwasasa ana miaka 40 akiwa anafanya kazi ya kuuza duka.

Filamu hiyo iliingiza takribani Dola Milioni 6.3 lakini Leonora hakupata hata senti tano.
Bora umenikutanisha naye maana nilitaka nimuulize dada yake yuko wapi? Halafu kwa nini alikanyaga triger akiwa kwenye tank la maji
 
Back
Top Bottom