Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mark aliwalipa twins kwa idea tu ya Facebook mahakaman licha ya kuwa haikuwa official bali ilikuwa sehem tu ya story zaoInategemea na mkataba walioingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mark aliwalipa twins kwa idea tu ya Facebook mahakaman licha ya kuwa haikuwa official bali ilikuwa sehem tu ya story zaoInategemea na mkataba walioingia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman, khaaahMaisha yanaenda Kwa Kasi pengine zaidi ya speed ya mwanga. Mwigizaji akiwa mdogo alikuwa wa kiume amekuwa mkubwa sasa ni wa kike
Ni mtazamo..
Dogo ktk HATYA wa kikeIla sura haijapotea kbs.kuna muvi inaitwa HATYA ya zamani sana.kuna mtoto alikuwa bubu mule ndani kimuonekano kila mtu alidhani ni wa kiume.
Huyu alikuwa kale kadogo kabisa kalikotumbukia kwenye majiDuuh! Vile vichuchu saivi vimekuwa bonge la mtindi kweli watu wanakua aisee
Sura haijabadilika jamaniLeonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II.
Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo.
Wakati akiigiza filamu hiyo ya mwaka 1989, alikuwa na miaka 6 tu. Kwasasa ana miaka 40 akiwa anafanya kazi ya kuuza duka.
Filamu hiyo iliingiza takribani Dola Milioni 6.3 lakini Leonora hakupata hata senti tano.
Je, Unajua, Muigizaji wa Namibia, Leonora Jacobs aliyetamba katika filamu ya The Gods Must Be Crazy II ya Mwaka 1989 hakuwahi kulipwa kwa ushiriki wake katika filamu hiyo.
Leonora aliahidiwa kulipwa atakapofikisha umri wa miaka 21 lakini hadi sasa ana miaka 42 hajalipwa licha ya filamu hiyo kuingiza Dola Milioni 6.3 (Tsh. Bilioni 14).
==============
Namibian Actress, Leonora Jacobs who starred in the 1989 movie, The Gods Must Be Crazy II says she wasn't paid for her role.
She was 5 years old when it was filmed in 1985. She is 42 years old now, and lives with her mum.
She said she feels used. The movie grossed $6.3 million.
The Gods Must Be Stingy: Actress Leonora Jacobs Reveals That She Was Never Paid For Her Role In The Gods Must Be Crazy!
The Gods Must Be Stingy: Actress Leonora Jacobs Reveals That She Was Never Paid For Her Role In The Gods Must Be Crazy!
“The Gods Must Be Crazy” Namibian actress Leonora Jacobs has left social media stunned after she made a shocking revelation about how she was never paid for her role.
Leonora Jacobs who starred in The Gods Must Be Crazy 2 1989 sequel when she was just 5 years old claims that she never received any cent for her role.
Speaking in a short video clip that is circulating on social media, Leonora said that she never got paid for acting in the classic movie. Leonora, who is now 42 years old, revealed that they promised her that when she reaches 21 years they will pay her something for playing her role but up until now, she claims that she still hasn’t received a dime from the production company.
Watch the video below as Leonora speaks on how she was never paid for her role on The Gods Must Be Crazy 2;
Meanwhile, this comes after one of the late main actors Nǃxau ǂToma, who played the role of Xi, was also reported to have been paid a measly salary for his role in the iconic movie.
Despite becoming a global star because of his acting in The Gods Must Be Crazy, which amassed millions, N!xau was only given R243, which was the equivalent of US$300 then.
Speaking on the development Jamie Uys, the director of The Gods Must Be Crazy, said that N!xau did not know the importance of paper money, so he let go of it.
Source: iharare
OkayMark aliwalipa twins kwa idea tu ya Facebook mahakaman licha ya kuwa haikuwa official bali ilikuwa sehem tu ya story zao
Ndio najua leoIla sura haijapotea kbs.kuna muvi inaitwa HATYA ya zamani sana.kuna mtoto alikuwa bubu mule ndani kimuonekano kila mtu alidhani ni wa kiume.