Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
Viburudisho vya wakubwa
 
Halafu tunatarajia Bunge lije na mambo muhimu kwa nchi kwa kutegemea wabunge kama hawa. 🤣
 
Siasa ya Bongo mwenye uelewa mpana wa mambo, system inakukataa, inataka vilaza km huyo mama.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hivi na sisi wakisema wenye "system" wapite mbele na sisi utapita kweli?
Hizi zetu ziko kuwalinda wenye nazo na kuwakomoa wale wanaokosoa serikali basi!
 
Back
Top Bottom