Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Am
Kiongozi kama umeshawahi kufanya presentation huwezi kushangaa kitu kama hiki, Kuna wakati neno linapotea kabisa kichwani haijalishi unalijua au una uzoefu nalo kiasi Gani.
Kwangu mim naona ni Jambo la kawaida tu
Aisee sawa sawa.
 
Swala la sheria ni swala nyeti linahitaji watu makini, wenye akili na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo mbalimbali.....ila hapa injini kwetu ukijua kusoma na kuandika unafaa kabisa kuwa mtunga sheria.
Ndio maana kuna sifia sifia nyingine mpaka unajiuliza kama msifiaji ana familia inayomuona yeye ni kichwa kweli..
 
Sasa huyu ukimwambia atofautishe ct scan na MRI
SI Atajibu vituko 😄

Ova
 
Wabunge wengi ni vilaza.Wengi wao wamo bungeni kwa ajili ya shibe tu.Hawana ajenda wala 'vision'
 
Nilikua na boss wangu anashindwa kutamka technology na excuse.

Ni strategist mzuri sana kwenye kuimprove business ila kwenye hayo mawili inabidi umzoee
 
watu tu wamemfikiria tofauti, sio rahisi aongee asichokijua na ndio maana imekua hoja hoja sasa hivi...

ni sawa tu na yule mh. aliwe wahi kusema naunga mkonyo hoja au yule aliewahi kusema SA wana chimba chima n.k 🐒

hoja mitandaoni ikawa ni mkonyo na kuchimba chima but ilikua bayana mh alikua anamaanisha nini..
Kuna kuchapia(ulimi hauna mfupa) ila kuna kukosea kutamka kwa sababu hujui kutamka kwa usahihi.
 
Na ndio watu wanatakiwa kututungia sheria....🥹
Sio wanaotakiwa bali ndio wanaotutungia Sheria, we huoni REVIEW EDITIONS zinavyofanyikaga kila baada ya kiongozi mwengine akiingia madarakani kudhihirisha kuwa sheria nyingi zinazopitishwa na bunge hazikidhi kwasababu ya uweledi mdogo na ignorant people/ chawa wa bungeni kwa viongozi wa juu wa NDIOOOOOO bila kufikiria madhara wanayopata wananchi na jamii nzima katika utekelezaji wa hizo Sheria.
Bila wananchi kubadirisha mindsets zetu juu ya umuhimu wa kuweka viongozi wanaojielewa bila kuangalia Chama gani anatoka tutafika mbali kimaendeleo
 
T-Scan™ provides dynamic occlusal measurement - revealing the level and timing of force on individual teeth and the occlusal stability of the overall bite - bringing articulating paper marks to life.
Ndugu Msomi, kikubwa ameeleweka mwacheni ashatoa maelekezo wataalamu wa CT scan waache wachape kazi.

Nipe namba za huyu mshangazi ikiwa hajaolewa.
 
T scan imefungwa kila mkoa
Alisahihishwa na kuambiwa mheshimiwa Tambwe unamaanisha "CT scan" ? Yeye akarudia tena "tc Scan".

Yaani Kuchapia full masinonda, muladi liendo tu na aonekane amechangia. Halafu hawa watu ndio wamjibu Tundu Lissu kuhusu vipengere vya katiba na technicality zake... Burudani Tosha kwa kweli wanavyo jitutumua.
 
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
kusoma na kuandika tu kiswahili basi unakuwa mbunge ccm majizi aisee,kakaza shingo kweli eti Tscan t scan
 
Back
Top Bottom