Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Haliitaji utalaamu bali umakini wa kujua unachokizungumza na kutamka.T-Scan zipo bandarini ambazo kazi zake ni ku-scan mizigo inayoingia bandarini.
Kuna CT-Scan ambayo kazi yake ni kum-scan mgonjwa ili kugundua tatizo linalomsumbua.
Kwa sababu huyo mbunge siyo mtaalamu wa vyombo hivyo tusimlaumu sana kwa kuchanganya matumizi ya mashine hizo!