DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ndio atudanganye kweli?? Aaghh sio vizuri
2025 kazi ipo huyo tunamuingiza bingeni mapema mama Tambwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio atudanganye kweli?? Aaghh sio vizuri
Ndio wale wanaotetewa na Mnyika kwamba kila jimbo liwe na wabunge wawiliHawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
Yupo mmoja wa upinzani alisema mother tongii!Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
Hahahaha TC scanTC Scan
Kipara bila akili ni Sawa takoYupo mmoja wa upinzani alisema mother tongii!
Ndio, umefurahi?Ndio wale wanaotetewa na Mnyika kwamba kila jimbo liwe na wabunge wawili
Hii imekaa very professionalKipara bila akili ni Sawa tako
2025 kazi ipo huyo tunamuingiza bingeni mapema mama Tambwe
Nakumbushia tuNdio, umefurahi?
Madha tongyoYupo mmoja wa upinzani alisema mother tongii!
SawaNakumbushia tu
SawaNimefanya T Scan yangu.
Na nilichogundua ni kwamba ameeleweka vizuri tu, manake akisemwa "amekosa akili" kwa kipimio chochote kile, iwe CT-Scan ama T-Scan majibu yanakuja yaleyale tu-Ukashifu.
Ameeleweka lasivyo isingejulikana alikuwa anasema kitu gani.
T-scan.
Na huwezi amini, huyo ndio mbunge anayepitia mikataba ya serikali na ammends za sheria na kuzitunga, safari ni ndefu sana.Sio kwamba ameweka akili pembeni, huyu hajui. Yaani ccm ni dubwana flani hivi la wasiojielewa.
Kwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur ZaidHawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
SawaKwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur Zaid
Wala hakuna ulazima wa mim, wewe au yeye kujua Kila kitu isipokuwa inabidi ujikite kwenye jambo ambalo unaweza ukawa mzuri zaid
T-Scan™ provides dynamic occlusal measurement - revealing the level and timing of force on individual teeth and the occlusal stability of the overall bite - bringing articulating paper marks to life.Ndo Taswira ya Taifa huko juu.....
Hili huwa linaniumiza kwakweli.Na ndio watu wanatakiwa kututungia sheria....🥹