Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa unastaajabu nini ikiwa qualification pekee aliyokuwa nayo ni jinsia yake na uwepo wa zee moja la ovyo lenye wadhifa chamani/serikali ambalo limeitumia hiyo qualification ya 'mheshimiwa' kumtunuku ubunge.
 
Kwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur Zaid
Wala hakuna ulazima wa mim, wewe au yeye kujua Kila kitu isipokuwa inabidi ujikite kwenye jambo ambalo unaweza ukawa mzuri zaid
Huoni amejikita kwenye kusifu na kuabudu, yaani hujaona kuwa hicho ndio anachoweza kuliko vingine?
 
kujua CT SCAN hakukufanyi uwe na akili...nikuwekee orodha ya vilaza niliosoma nao ambao wanajua kutamka CT SCAN??
DUNDERHEAD
 
Kwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur Zaid
Wala hakuna ulazima wa mim, wewe au yeye kujua Kila kitu isipokuwa inabidi ujikite kwenye jambo ambalo unaweza ukawa mzuri zaid
Yani kitu alichokiandaa kupresent anapresent kimakosa afu unasema kuna shida gani kama hajui???

Mtu wa namna hiyo unamuamini vipi? Anasifia kwa kitu asichokijua hata
 
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
Kama ameweza kumsifia mama Samia basi mbunge huyo ana maono makubwa mbele yake.
 
Kwani sheria zinatungwa kwa ajili ya wasomi tu?msiwe kasuku
Swala la sheria ni swala nyeti linahitaji watu makini, wenye akili na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo mbalimbali.....ila hapa injini kwetu ukijua kusoma na kuandika unafaa kabisa kuwa mtunga sheria.
 
T-Scan™ provides dynamic occlusal measurement - revealing the level and timing of force on individual teeth and the occlusal stability of the overall bite - bringing articulating paper marks to life.
....and she has done it.

She has, to the best of her ability,and left her mark.

T-Scan is now in the parliaments records, in other words , she has mark the papers for Life!
 
Am
Yani kitu alichokiandaa kupresent anapresent kimakosa afu unasema kuna shida gani kama hajui???

Mtu wa namna hiyo unamuamini vipi? Anasifia kwa kitu asichokijua hata
Kiongozi kama umeshawahi kufanya presentation huwezi kushangaa kitu kama hiki, Kuna wakati neno linapotea kabisa kichwani haijalishi unalijua au una uzoefu nalo kiasi Gani.
Kwangu mim naona ni Jambo la kawaida tu
 
Back
Top Bottom