kwamba lazima ajue vifaa vya kitabibu na angali yeye si tabibu.
kujua jambo tena la kitabibu ni Lazima upate mafunzo, uende shule kidogo, ila kulifahamu jambo sio vibaya, lakini sio lazima 🐒
ni muhimu zaidi akafahamu majukumu na wajibu wake katika bunge, hiyo ni muhimu zaidi. Hata hivyo bunge limejaa wataalamu wa kila aina hata akikosea kutamka lakini akaeleweka anachokusudia kusema atasaidika vizuri sana na ataskizwa tu 🐒
ifike mahali tuepuke kujipa umuhimu zaidi ya binadamu, kwamba sisi we know each and everything.. ni uongo wa wazi 🐒