Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Viburudisho vya wakubwa
 
Halafu tunatarajia Bunge lije na mambo muhimu kwa nchi kwa kutegemea wabunge kama hawa. 🀣
 
Siasa ya Bongo mwenye uelewa mpana wa mambo, system inakukataa, inataka vilaza km huyo mama.
Hivi na sisi wakisema wenye "system" wapite mbele na sisi utapita kweli?
Hizi zetu ziko kuwalinda wenye nazo na kuwakomoa wale wanaokosoa serikali basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…