Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

Nahisi njia nzuri ya watu wa namna hii ni kuwapuuza tu,maana binafsi mtu akinitukana mtandaon naona pia shule yake ndogo mno,so don't put yourself into guilty due some dumb guys evil.
I bet y'all gotta kno what is all about this goddamnit shi*
 
Sijaona haja ya kumtaja, alaf na hapa hatupo kuelezeana et flani hua anafanya iv au vile, hizi ni story za ukweli ila ktk hali ya kawaida tu, na lengo sio uadui au kujua nani mbaya,no, hapa ni kama tunapiga stori tu za utani kumbe ndio ukweli huo.
Ooh... Nilijisahau kama hapa nipo chit chat
 
[emoji108]
 
Mtaje sasa, au unamuogopa?
Manake sioni sababu ya kuelezea kwa mafumbo...
Acha hizo bana utachafua hali ya hewa
Muimbaji taarab lazima awe na mafumbo[emoji1] [emoji1] [emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi mtu akinitukana humpa "like" tu mwenyewe huelewa. [emoji111]




Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ujumbe umefika, muhimu ni kujibu hoja kwa hoja wale wa mahaba niue tujirekebishe,kinywa cha muungwana hakitoi matusi jemeni.Tuheshimiane ukizingatia sote kama namba mbona tunasoma tu. Haibagui.
 
coco chanel hii mada inamuhusu 100%

Ha ha ha haaaaa

Yaani nilmefungua mbio nijiandike, nikakuta umenisaidia.

Safi sana

Ndio hivyo ila nakula nao sahani moja, nikiamua kuwadisi bila kuwajibu... ndio weeee wanazidi kunisubilia kwingine

Eeeeeeeh
 
Tena mie kuna kajamaa hua kananishangaza sanaa kila nilipo kapo, kananitukanaga mengi matusi, hua sikajibu chochote tangu nijue kua join yake inasoma 22 may of this year hahahahahaha naishia kucheka tu

Eeeh ID ya pili hiyo

ha ha haaaaaaa
 
Mkuu tafadhali bhana tusiwataje watu majina, itachafua taswira zao.

Wala usijali

Wengi wanajua ni kwa sababu gani

Maana Cocochanel ni jembe linalowalima haswa humu

Acha nipate kiki zangu shaaaaa

Wanajijua nitakutana nao hukooooo kwenye threads, ila sikujuaga kumbe nina wafuasi wengi my fans ila basi tu wanatumia njia hiyo... kutaka niwe kama wao na sibadiliki ng'oooo

Hapa kazi tu

Eeeeeh
 
Kwa jinsi nionavyo ni kuwa watu wana mkubali jose ktk position ya kwanza Ku reply si kuwa wanamsakama. Sijui labda ni uelewa wangu sio sheria
Post zote ninazokutana nazo kuhusu jose zinaonyesha kumkubali kwa kile anachokifanya. Ila kuna baadhi ya members huwa wanatafsiri tofauti.
 
Sahiihi kabisa hasa hawa wanao jiita member maarufu ni mahaters knomaa
Halafu wako very selective yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…