Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 8, 2017 #81 Khakhaakhaaaaa Nimeipenda hii Cc Smart911
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 8, 2017 #82 Wakijibu mbovu usirudishe
Alisina JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 4,178 Reaction score 4,449 Jul 8, 2017 #83 Yamakagashi said: Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti Click to expand... Kabisa kabisa!! Mtu ukipishana naye kimawazo au mtazamo yeye anahifadhi kisha anajenga chuki kama akinamwajuma ndala ndefu wa yombo kwa limboa. Jf wapo wengi wa aina hiyo na wanashangaza kwelikweli.
Yamakagashi said: Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti Click to expand... Kabisa kabisa!! Mtu ukipishana naye kimawazo au mtazamo yeye anahifadhi kisha anajenga chuki kama akinamwajuma ndala ndefu wa yombo kwa limboa. Jf wapo wengi wa aina hiyo na wanashangaza kwelikweli.