mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Sawa Hr666
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh... Nilijisahau kama hapa nipo chit chatSijaona haja ya kumtaja, alaf na hapa hatupo kuelezeana et flani hua anafanya iv au vile, hizi ni story za ukweli ila ktk hali ya kawaida tu, na lengo sio uadui au kujua nani mbaya,no, hapa ni kama tunapiga stori tu za utani kumbe ndio ukweli huo.
Kama ni hivyo basi wasimamizi hawafanyi kazi ipasavyo,.Pamoja sana mkuu
Ila kuna watu wanaboa kweli asee
[emoji108]Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena sometimes hata umemsalimia mtu lakini utashangaa tu jamaa ka reply yeye hio thread kwa kashifa.
Naona sanaa members wengi humu wakitukanwa au kukosolewa na watu wale wale walio wakosoa kwenye nyuzi nyingine kabla,mambo mengine madogo tu.
Kuna members wengine hao wao wamezaliwa ku hate tu, hapo ukitaja kitu cha maendeleo asee utajuta, na kuna mijitu iko negative tu yaani kwa kila kitu kila hali.
Wengine wao mada ina husu mambo mengine ila watajadili vitu vyao personal hai wanapotezesha lengo la nyuzi husika.
Haya mambo yamekwisha kutokea na umekwisha jionea mwenyewe, sina jipya ila nataka tu ni wa wish happy birthday members wa hivi, live long fam.
Kwa jinsi nionavyo ni kuwa watu wana mkubali jose ktk position ya kwanza Ku reply si kuwa wanamsakama. Sijui labda ni uelewa wangu sio sheriakaka pole sanaa, najua dhahama inayokukutaga bhana, naonaga kuna member wengine wako humu kukusakama tu hahahahahaha
Muimbaji taarab lazima awe na mafumbo[emoji1] [emoji1] [emoji111]Mtaje sasa, au unamuogopa?
Manake sioni sababu ya kuelezea kwa mafumbo...
Acha hizo bana utachafua hali ya hewa
mmmhKama ni hivyo basi wasimamizi hawafanyi kazi ipasavyo,.
Makinikia wewe[emoji12]Mimi mtu akinitukana humpa "like" tu mwenyewe huelewa. [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
coco chanel hii mada inamuhusu 100%
Tena mie kuna kajamaa hua kananishangaza sanaa kila nilipo kapo, kananitukanaga mengi matusi, hua sikajibu chochote tangu nijue kua join yake inasoma 22 may of this year hahahahahaha naishia kucheka tu
Mkuu tafadhali bhana tusiwataje watu majina, itachafua taswira zao.
Post zote ninazokutana nazo kuhusu jose zinaonyesha kumkubali kwa kile anachokifanya. Ila kuna baadhi ya members huwa wanatafsiri tofauti.Kwa jinsi nionavyo ni kuwa watu wana mkubali jose ktk position ya kwanza Ku reply si kuwa wanamsakama. Sijui labda ni uelewa wangu sio sheria