stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Ngoja wavumburuke huko walipo
Tena wakuja mkuku mkuku hasa
Hilo vumbi lake humu
Mhhhhh,,!!!!!!
Tuombe Ambulance Kabxaa[emoji1321]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wavumburuke huko walipo
Unawafuasi akina nanWala usijali
Wengi wanajua ni kwa sababu gani
Maana Cocochanel ni jembe linalowalima haswa humu
Acha nipate kiki zangu shaaaaa
Wanajijua nitakutana nao hukooooo kwenye threads, ila sikujuaga kumbe nina wafuasi wengi my fans ila basi tu wanatumia njia hiyo... kutaka niwe kama wao na sibadiliki ng'oooo
Hapa kazi tu
Eeeeeh
BashiteUnawafuasi akina nan
Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list
Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti
Leo umeandiko point ya maana toka umezaliwa
Post zote ninazokutana nazo kuhusu jose zinaonyesha kumkubali kwa kile anachokifanya. Ila kuna baadhi ya members huwa wanatafsiri tofauti.
Sahiihi kabisa hasa hawa wanao jiita member maarufu ni mahaters knomaa
Halafu wako very selective yaani
Ha ha ha haaaaa
Yaani nilmefungua mbio nijiandike, nikakuta umenisaidia.
Safi sana
Ndio hivyo ila nakula nao sahani moja, nikiamua kuwadisi bila kuwajibu... ndio weeee wanazidi kunisubilia kwingine
Eeeeeeeh
Wanamkubali sana tuu [emoji28][emoji28]kaka pole sanaa, najua dhahama inayokukutaga bhana, naonaga kuna member wengine wako humu kukusakama tu hahahahahaha
Na wewe una mipasho sana,yaan unalalama uradhan mtoto wa kambo. Acha hizo yaan toka mwanzo wewe kujilalamisha na mafumbo utadhan umepingukiwa na nini sijui?Mkuu nimekuvumilia ila sasa nimeshindwa, wadau huyu bhana ni miongoni mwa wale tunao wajadili, huyu jamaa utafikiri nimemchukulia mke, nlipo nae yupo, ata comments za salam tu nae anaziingilia, mdogo angu umetumwa au? Unataka kuniroga au?
Hapa basi nimekujibu umejiskia raha na roho yake eee? Maana kwengine nakupuuzaga tu ila humo, asee wew ni mzima?unajiskiaje sasa unavyonitukanaga alaf ata sifuatilii? Chunga utakua mchawi bado mtoto mdogo.
Na wewe una mipasho sana,yaan unalalama uradhan mtoto wa kambo. Acha hizo yaan toka mwanzo wewe kujilalamisha na mafumbo utadhan umepingukiwa na nini sijui?
Unashindwa kutofautisha vitu serious na utani,hata misiban watu hutaniana sembuse humu?. Kwa mfano Jose watu weng sio kuwa wanamchukia ila wanamtania na kuburudika kwa staili yake ambayo wengi hushangaa anaweza vip kuwa wa kwanza au wapili.
Sasa wewe mbona ni mpinga Kristo ?Mkuu mie sio huyo, nafikiri ni majina tu yamefanana.
[emoji23] [emoji23] ulipo tupo!Tena mie kuna kajamaa hua kananishangaza sanaa kila nilipo kapo, kananitukanaga mengi matusi, hua sikajibu chochote tangu nijue kua join yake inasoma 22 may of this year hahahahahaha naishia kucheka tu
[emoji1] [emoji1] kila jumuia lazima iwe na watu kama hao.Wapotezee tu maana kuna watu hawajui ni kwa nini walijiunga JF na wanataka nini hasa..
wengine wanaandika upupu lazima tuwaambieKuna wale wanahisi Jf ni yao kisa wameanza zamani utaskia "unatujazia server zetu..."
Sijui ni wake wa mmiliki[emoji3][emoji3]
Kwanza ukute hata server hajui ni nini au ukimpinga kitu cha kweli anahangaika kupoteza muda wake kuangalia umejiunga lini...utadhani memba kua jf kitambo ndo unakua na akili kibao[emoji3][emoji3]