Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

Sasa wewe mbona ni mpinga Kristo ?
Kwanini unampinga Kristo bila sababu yoyote na unadhibitisha kwa hiyo chata ya avatar yako ?
666 chata.
Kama wewe ni mpingaji basi usiwashangae wapingaji wenzako.
Bora hao wanapinga mada lakini wewe
Unampinga atakaye kufufua siku ya mwisho.
Unampinga anayekua
andalia makao ya Mbinguni.
Unampinga aliyepewa mamlaka ya duniani na mbinguni ?
Kati ya wapingaji wote wewe una hasara kibwa zaidi.
Badilika nafasi bado unayo, la sivyo kwa huo upingaji wako Lusifer anakusubiri kwa hamu.

Wapi nimesema nampinga kristo? Hili ni jina tu kama majina mengine, jina hili linawakumbusheni maksudi kabisa kua siku yaja mjiadhali siku yaja, mie mwenzenu nimeshakumbuka, shauri yenu oooh.
 
Tabia mbaya

Kila nlipo nawe upo, nimekuona hadi kule sports umenifuata, jana tena ulinifuata kule habari na hoja mchanganyiko, ila kwenye sheria na inteligence sikuonagi ukinifuata, huna utakalo nibishia kule, shenzy type.
 
Kumpinga mtu sio lazima kuwe kwa maneno.
Unaweza kupinga kwa matendo, ishara, mavazi, nyimbo, alama, jina nk

Katika kitabu Cha ufunuo wa Yohana,
Sura ya kumi na tatu.
Aya ya kumi na nane

Inasema namba 666 ni ya mpinga Kristo.
Ufunuo wa Yohana 13 : 18

Nawewe ndio Avatal yako.
Yaani unajitambulisha kama mpinga Kristo.

Mi sikushangai maana unajua unachokifanya, hayo ni maagizo yako.

Ninachoshanga eti nawewe unasema kuna watu kazi yao ni kupinga tu

Wewe mbona ni mpingaji
ni vipi uwashangae wengine ?

Ewe mpinga Kristo.
 
Kuna wale wanahisi Jf ni yao kisa wameanza zamani utaskia "unatujazia server zetu..."
Sijui ni wake wa mmiliki[emoji3][emoji3]
Kwanza ukute hata server hajui ni nini au ukimpinga kitu cha kweli anahangaika kupoteza muda wake kuangalia umejiunga lini...utadhani memba kua jf kitambo ndo unakua na akili kibao[emoji3][emoji3]
Umeonge kitu cha maana sana mkuu
 
Wewe sasa ni mchungaji gani ambae kazi yake ni kushambulia kondoo badala ya kuwakusanya na kuwaelekeza? Kwanini una hukumu? Je Mungu ana hukumu maana au kitendo? Wewe una ufahamu gani juu ya maswala ya kupinga? Usanisha na mada husika!

Je na unaelewa maana ya jina lako ktk lugha zingine?

Kwanini tunalazimishana imani? What if ningekua si sadiki juu ya Mungu? Bado ungenihukumu?

Mwisho kabisa, sasa mchungaji kwa akili zako izo wewe ulijua namba 666 ni namba kama namba na haina maana nyingine? Kabisa kabisa ndicho iki ulichokielewa kua 666 ni namba tu na mtu akitumia kampinga tayari? Hahhh nakushauri katafiti maana ya hii namba na kwanini walitumia namba hii na sio nyingine kama 999 au 555?
 
Posti yangu ya kwanza nimekushauri kwa upole kabisa kuwa, unao muda wa kubadilisha hiyo Avatar yako kwani siyo nzuri.
Hebu soma tena nilivyo kushauri hapo juu.
Pili sio mimi ninayekuhukumu kuwa wewe ni mpinga Kristo.
Ni maagizo ya Mungu katika kitabu cha ufunuo wa Yohana, aya nimekutajia.
Sasa mimi
ninakuhukumu kivipi ?
Kama humini maneno ya kitabu cha Biblia basi endelea kutumia hiyo namba.
Mimi nimesema hivyo kwa kukupenda na kukujali.
Wanaokunyamazia wanakuacha uangamie kwa kumpinga Mungu na kumtangaza shetani.
Kama una ufahamu wa kawaida ungenipongeza kwa kukutahadharisha na ungechukua hatua ya manufaaa.
666 ni mpinga Kristo au unataka nikuambie kwa kilugha chenu.
Nimekuambia na kukushauri nimetumia mega bites zangu kwa manufaa yako, huoni kuwa nafanya uungwana.

Kama una masikio umesikia
 
sasa hapa umeandika nini? shule mnafungua lini?

Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena sometimes hata umemsalimia mtu lakini utashangaa tu jamaa ka reply yeye hio thread kwa kashifa.

Naona sanaa members wengi humu wakitukanwa au kukosolewa na watu wale wale walio wakosoa kwenye nyuzi nyingine kabla,mambo mengine madogo tu.

Kuna members wengine hao wao wamezaliwa ku hate tu, hapo ukitaja kitu cha maendeleo asee utajuta, na kuna mijitu iko negative tu yaani kwa kila kitu kila hali.

Wengine wao mada ina husu mambo mengine ila watajadili vitu vyao personal hai wanapotezesha lengo la nyuzi husika.

Haya mambo yamekwisha kutokea na umekwisha jionea mwenyewe, sina jipya ila nataka tu ni wa wish happy birthday members wa hivi, live long fam.
 
Mi kuna jamaa namdis humu ndan ngoja povu lake naliandaaa lazma aoge
 
Umenikumbusha nilipokuwa chuo, kuna mtu (watu) kazi yao ilikuwa ni kucoment kwenye matangazo yaliyobandikwa hasa na wanafunzi wenzao ili kutoa taarifa ya jambo flani. Hata tangazo liwe very straight, hata kama ni la msiba lazima wacomment tena negative. Mojo iliyowahi niachamdomo wazi ni ile mtu alitoa tangazo la msiba kuwa mwenzao kafiwa na kaka yake wakutane ( wanaumoja wa mkoa flani) ili waweze kumsaidia mwenzao asafiri, comments iliyowekwa hapo ilikuwa ni acha wafu wazikane, na aliandika hapo saangapi anajua mwenyewe. Kwa hiyo wazoee tu ndugu yangu, usiwafatilie, wapuuze tu.
 
Reeeeeeeee we kila post wa kwanza hadi watu wanalalamika
Sio post zote mkuu lakini kumbuka
fd0bd91c1314b78b262c8acd6e0b1098.jpg
 
Kila nlipo nawe upo, nimekuona hadi kule sports umenifuata, jana tena ulinifuata kule habari na hoja mchanganyiko, ila kwenye sheria na inteligence sikuonagi ukinifuata, huna utakalo nibishia kule, shenzy type.
Mdgo wangu usitafute kiki ivyo tafuta pesa kwanza
 
Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena sometimes hata umemsalimia mtu lakini utashangaa tu jamaa ka reply yeye hio thread kwa kashifa.

Naona sanaa members wengi humu wakitukanwa au kukosolewa na watu wale wale walio wakosoa kwenye nyuzi nyingine kabla,mambo mengine madogo tu.

Kuna members wengine hao wao wamezaliwa ku hate tu, hapo ukitaja kitu cha maendeleo asee utajuta, na kuna mijitu iko negative tu yaani kwa kila kitu kila hali.

Wengine wao mada ina husu mambo mengine ila watajadili vitu vyao personal hai wanapotezesha lengo la nyuzi husika.

Haya mambo yamekwisha kutokea na umekwisha jionea mwenyewe, sina jipya ila nataka tu ni wa wish happy birthday members wa hivi, live long fam.
Nakuunga mkono asilimia mia moja mkuu, kunywa soda kwa mangi hapo nakuja kulipa mkuu
 
Kuna wale wanahisi Jf ni yao kisa wameanza zamani utaskia "unatujazia server zetu..."
Sijui ni wake wa mmiliki[emoji3][emoji3]
Kwanza ukute hata server hajui ni nini au ukimpinga kitu cha kweli anahangaika kupoteza muda wake kuangalia umejiunga lini...utadhani memba kua jf kitambo ndo unakua na akili kibao[emoji3][emoji3]
Dah kweli aisee hawajui wengine tulikuwa wasomaji tu hatujajiunga,halafu wana kamsemo shule zinafunguliwa lini utakuta anaekwambia hivyo yupo field halmashauri,anakuuliza ambae unalipa PAYE[emoji36]
 
Tena mie kuna kajamaa hua kananishangaza sanaa kila nilipo kapo, kananitukanaga mengi matusi, hua sikajibu chochote tangu nijue kua join yake inasoma 22 may of this year hahahahahaha naishia kucheka tu
Mond.....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom