Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list

Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti
Kabisa kabisa!!

Mtu ukipishana naye kimawazo au mtazamo yeye anahifadhi kisha anajenga chuki kama akinamwajuma ndala ndefu wa yombo kwa limboa.

Jf wapo wengi wa aina hiyo na wanashangaza kwelikweli.
 
Back
Top Bottom