MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,931
Huyu ni mla bata wa kishua ambaye anatembea nchi nyingi sana, hana stress na maisha, yeye ni bata za kishua siyo vumbivumbi na ni mtu wa ku-cruise kwenye yatch na hoteli kubwa. She's a globetrotter kama anavyojiita.
Lakini makazi yake yasemekana ni Nigeria. Account yake ya Instagram ina followers mastaa maarufu Afrika na duniani.
Mwonekano wake she is thick and she has sexy innocent eyes with watery *ss. Unaweza kutembelea account yake "iambrendak". Ila msije mkavamia page zake kuanza kuongea hovyo unakula tofari "block".