Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kutana na ππππππ ππ πππππ Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo πππ§π³ππ§π’π yetu inapendeza.
Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa vya mabasi na daladala, masoko nk.
Vijana sasa wameendelea kuziona fursa, neno moja lao kwa mama Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni MAMA HANA BAYA !
#MtaliiWaNdani