Kutana na mtanzania aliyeacha kazi Bank ya Dunia ili ashone nguo

Kutana na mtanzania aliyeacha kazi Bank ya Dunia ili ashone nguo

Kama una vision hakika unaweza ukaacha kazi inayodhaniwa kubwa ukafuata ndoto zako ukafanya makubwa zaidi. Tusibweteke kila kitu ukikomaa kinalipa
 
I know the guy personaly..ni mpiganaji n die hard spirit...mpenzi nguli wa man utd. Nishafanya naye kazi ofcn kwake...ananivutia sana na natamani afike mbali.
 
Yote yanawezekana ukiwa na plan na ukapata mtaji nothing impossible
 
Kuna kawimbo ka prof jay ft Diamond... naomba kunukuu mstali huu "Nili hacha kazi nifanye mziki, waka tabiri nita lost, wengine waka shauri niloge ili niondoe mikosi"
 
Back
Top Bottom