Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,226
Ukimuiga Tembo kunya ma** maneneHii inaitwa IGA UFE.. [emoji56][emoji56][emoji56]
obviously utachanika mk****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuiga Tembo kunya ma** maneneHii inaitwa IGA UFE.. [emoji56][emoji56][emoji56]
Na ni endelevu.Nadhani hela anayoingiza ss hv ni ndefu kuliko aliyokuwa analipwa world bank
Sio jambo rahisi mkuuunaweza show makaburi ya watu walio kufa baada ya kuacha kazi na kujiajiri?
HahahahahhahahhaHii inaitwa IGA UFE.. [emoji56][emoji56][emoji56]
Ndo manake wengine hapa Dar tumekuja wenyewe kwetu mikoani. Wenyewe wamezaliwa mjini hata akikosa msosi home karibu anaenda kutega msosi hata kodi ikiisha anarudisha kambi nyumbani kwakuwa ni hapa hapa mjini. Sasa mimi kwetu kilometer 700 nikikosa msosi sina wa kumlilia itabidi nipambane na hali yangu. Kwa mazingira hayo kuacha kazi kwangu kufanya business sio afya kabisaHahahahahhahahha
Umepatia kabisa..
Ndoto za abunuasi mi kuachia Kaz Kama hyo....
Hajanishawish...
Then Lazma awe wa kishua ....
Mi mwenzangu wa nanjilinji umesotaa thn udrop mchongo....
WB kitengo gani? Maybe alikua mlinzi au kufagia na kuandaa chai.Nadhani hela anayoingiza ss hv ni ndefu kuliko aliyokuwa analipwa world bank
Jeffrey Jessey ni kijana wa Kitanzania ambaye baada ya kumaliza masomo yake aliajiriwa na Benki ya Dunia nchini Tanzania lakini aliacha kazi na kuanza kushona nguo akisema alipenda kushona nguo kwa sababu ni kitu alichokipenda.
Tangu aache kazi hiyo, sasa anamiliki kampuni inayoitwa Speshoz na ameajiri watu wengine ambao anafanya nao kazi.
Unaweza kuitazama hii kwenye hii Full interview
Kwa hisani ya Millard Ayo
Mark hakuacha chuo ili atengeneze Facebook, aliacha chuo baada ya majukumu ya Facebook kumzidiZuckerberg aliacha CHUO havard for facebook alikataa mapesa kibao look where he is
watu wanajitambua hawaishi Kwa kushinikizwa