Kutana na mtanzania aliyeacha kazi Bank ya Dunia ili ashone nguo

Hii inaitwa IGA UFE.. [emoji56][emoji56][emoji56]
Hahahahahhahahha
Umepatia kabisa..
Ndoto za abunuasi mi kuachia Kaz Kama hyo....
Hajanishawish...
Then Lazma awe wa kishua ....
Mi mwenzangu wa nanjilinji umesotaa thn udrop mchongo....
 
Hahahahahhahahha
Umepatia kabisa..
Ndoto za abunuasi mi kuachia Kaz Kama hyo....
Hajanishawish...
Then Lazma awe wa kishua ....
Mi mwenzangu wa nanjilinji umesotaa thn udrop mchongo....
Ndo manake wengine hapa Dar tumekuja wenyewe kwetu mikoani. Wenyewe wamezaliwa mjini hata akikosa msosi home karibu anaenda kutega msosi hata kodi ikiisha anarudisha kambi nyumbani kwakuwa ni hapa hapa mjini. Sasa mimi kwetu kilometer 700 nikikosa msosi sina wa kumlilia itabidi nipambane na hali yangu. Kwa mazingira hayo kuacha kazi kwangu kufanya business sio afya kabisa
 

I like these few individuals with big hearts. Tanzania haitabadilika kama tutaendelea wote kujipanga kula kwenye siasa. Maana foleni wamo hapo akina Msukuma
 
Zuckerberg aliacha CHUO havard for facebook alikataa mapesa kibao look where he is

watu wanajitambua hawaishi Kwa kushinikizwa
Mark hakuacha chuo ili atengeneze Facebook, aliacha chuo baada ya majukumu ya Facebook kumzidi
Elimu karne hii ni muhimu zaidi ya muda wowote huko kipind cha nyuma! JIONGEZENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…