Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Hata akiamua kua na nyumba ndogo anaweza na atahudumia vzur tu coz mke wake hana udhibiti wa income ya mme kama wale wa mishahara
 
Hunijui kwa hiyo achana na mimi. Ninachomwambia namaanisha. Mimi nilithubutu kuacha kazi.
Sasa unataka kila mtu akuige kwa kuacha kazi na sasa unasota na hali mbaya mtaani naye asote km ww?
 
Sasa unataka kila mtu akuige kwa kuacha kazi na sasa unasota na hali mbaya mtaani naye asote km ww?
Mi nasota? Hahaha bro pesa ninayoipata kwa week 4 au siku 20 za kazi yangu ni zaidi ya mara 4 ya mshahara niliokuwa nalipwa kwa mwezi.
 
Mi nasota? Hahaha bro pesa ninayoipata kwa week 4 au siku 20 za kazi yangu ni zaidi ya mara 4 ya mshahara niliokuwa nalipwa kwa mwezi.
Wacha longo longo. Weka financial statements hapa
 
Maharage na supu vyote kwa pamoja?

Stori za kipuuzi jukwaa lake si ni chit chat jamani?
 
Hahahaaaaaaa unanichekesha Sana kumbe ulikuwa hujui kusoma ni kutoa upumbavu kichwani na si kutoa umaskini
 
Wewe K nini? Namaanisha Kilaza....siko hapa kushindana na mtu. Mind your business.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
Pole sana mkuu, siku ukipata kibarua kipya, usiache kabla hujajua utafanya nn kwa kitaa...

Stress zakumaliza maskini ya rabi eee
 
Wewe jamaa hiyo kazi kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 3 usiku si Ni kifo hicho??
Then unapata 750,000!!
Bora huyo mwenye degree anayepewa take home ya 500,000
ni kweli kabisa
na akiomba mkopo wa myumba km yupo CRDB au mifuko ya jamii (NSSF, LAPF nk) hakosi milioni 300 na gari 2 atanunua na haijulikani marejesho atayaweza, sasa mtu unatmia misuli kusukuma kitoroli cha baiskeli dumu 10 tripu 5 masaa 15 eti chapati maharage na maji safi hayo anayouza kumbe machafu
 
 
Ndg, biashara zina kanuni zake, hapa hitaji distance ya kutoka mahali anapo uzia mani na huko anakoyachota, lakini pia huko anakoyachota husemi kama anapewa au anauziwa, na kama ana uziwa dumu ananunu sh. Ngapi? Zaidi ya yote huzungumzii gharama za uendeshaji, kama vile mkokoneni na ununuzi wa madumu n.k

Ni sawa na ndg yako kijijini akiambiwa unalipwa 500,000 anakupigia hesabu ya mwaka, hajui unakula,unalipa,usafiri n.k
 
 
Nikuone akili yako ilivyopungufu hilo dumu anapewa free of charge..! Haya njoo huo mkokoteni hautaji services anafanya kazi bila supu ya 2000 na chapati....! Why upige hesabu kileiman hivyo..[emoji12]
 
Na wewe kwanini utoke SINZA uhamie MAGOMENI MAKANYA...??? Mbn kama unapiga rivasi mkuu..??

Wenzako wanaimprove kwa kutoka Makanya kwenda Sinza.
 
Ulichokisahau mkuu, ni ulinganifu wa muda wa kazi + nguvu zinazotumika in relation to amount of money inapatikana kwa mwezi.

Plus, jamaa akiugua hatoingiza kiasi cha pesa za madumu 50 kwa kipindi chote anaumwa...

Pia hata wenye diploma wana masurufu ya vikao na safari, so anaweza enda katika kikao cha siku 5 akatoka na zaidi ya 600,000/=, hafu hapo mshahara haujajumuishwa... Then unacompare na muuza maji!

Anza upya mkuu, mafikirio yako bado hayana mashiko sana...

Anyway, wewe una level gani ya elimu? Degree?
Nina mashaka nawe[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…