Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

eti kwa kuuza samaki na mihogo. Kalagabaho, karibu mjini hapa.
 
Pambana na hali yako??


Hebu ona mwanamume mzima unatumia misemo iliyoanzishwa na wanaume wenzio badala ya kuanzisha yako
 
Hiyo ela sio take home,since anakula na kunywa then unatangaza kupata 750,000? Kwani haumwi?? Sio tu yeye Bali familia yake?
Kwani hata kama wewe unachukua take home ya milioni moja kwa kazi yako ya ofisini, huitumii?

Hapa sijazungumzia matumizi, bali Nimezungumzia mapato. Hata uwe unaingiza mshahara mkubwa vipi, huo mshahara utautumia kwa kula na matumizi mengine mengi
 
Mkuu, pampu anayo yake mwenyewe.

Maji anachota bure pale usalama magomeni

Masuala ya pancha anaziba mwenyewe. Na ikitokea kuna ulazima wa kupeleka kwa fundi, mkokoteni hauna gharama kubwa
 
Ishu sio kula wala hiyo laki saba.
Ishu ni kuonesha kuwa jamaa ana kiwanja mbezi na ujenzi umeanza, wakati hesabu zinakataa. Kama ana mishe nyingine muongezee vinginevyo utabaki peke yako kutetea hoja.
Hesabu zinakataa kivip mkuu?

We unampigia hesabu ya daladala na bodaboda akati hapandi gari wala pikipiki, mwezi mzima yupo magomeni
 
Wengi wanajitahidi kujipiga upofu kwa kupinga hili.

Na wengi hao ni hao hao wa degree wanapoona mtu wa namna hii anapiga hela huku wao wanasota kitaa
 
Wanaobisha wengi ni wale wa degree wanaozidiwa kipato na huyu bwana
 
Pambana na hali yako??


Hebu ona mwanamume mzima unatumia misemo iliyoanzishwa na wanaume wenzio badala ya kuanzisha yako
Neno linaloanzishwa na mwanaume nila kiume pia na hutumiwa na wanaume, umbeo wa kuchunguza maisha ya watu ulianzishwa na wanawake na hutumiwa na wanawake pia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

My own brand!!
 
kwahiyo huko anakokwenda kuchukuwa maji anachota bure?
kila mtu anafanya kazi kutokana na hadhi yake huwezi kuwa na degree halafu ukafanye kazi ya utwana kama hiyo tatizo si kupata pesa tatizo ni kupata pesa katika njia gani?
 
Yeye anauza 500, hununua bei gani?? Mbona kuna vitu vingine kama hujaviweka, ikiwemo changamoto
 
Haahahahahaja mkuu I salute you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na hali yako....acha kazi basi kauze maji.

Sukari Yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…