Kutana na nyumba zinazohamishika zinazotengenezwa nchini Tanzania

Kutana na nyumba zinazohamishika zinazotengenezwa nchini Tanzania

nyumba ni nzuri sana lakini ni hatari sana ukiwa na maadui wenye visasi na ww au mnaochukiana..maana wakimwaga mafuta ya taa anakuwasha humo ukiwa umelala ndani na hio nyumba ndio kuni hizo.. bora kwa nje na ndani waweke material isiyoshika moto kirahisi yaani mbao katikati.!
 
Namshauri mbao ziwe decoration ya ndani na nje atafute materials imara eg. Bati
Zamani watu walikuwa wanaweka decoration mbao kwenye cilling na floor TNG mbao mninga kwa sasa huo mziki labda uwe vzr kifedhaa
Ila kwa mkoani sawa maana mbao ziko za kumwaga

Ova
 
Nafikiri alimuona baba yake akiwa na kipato kidogo ndio akapata wazo la kutengeneza nyumba za mbao
Kuhusu ubunifu wanawake pia wana mchango mkubwa sana kwenye technology na wanajulikana wengi, na sio kuwa hawamo kabisa kwenye ubunifu
Sasa wanawake wengine kuanzia asubuhi mpk usiku anamsikiliza zuchu umbea sjui lokole nk hawezi kuwa nanakili hyo

Ova
 
nyumba ni nzuri sana lakini ni hatari sana ukiwa na maadui wenye visasi na ww au mnaochukiana..maana wakimwaga mafuta ya taa anakuwasha humo ukiwa umelala ndani na hio nyumba ndio kuni hizo.. bora kwa nje na ndani waweke material isiyoshika moto kirahisi yaani mbao katikati.!
Mi sijazikubali, sasa gharama za material ya kilinda mbao, mbao zenyewe si bora ujenge tofali!
 
Hii inafaa kujenga ukweni. Wakizingua tu unaondoka na nyumba yako.
Hata sisi makondakta wa daladala itatufaa sana, zitakuwa na kazi moja tu ya kusafirisha abiria.
 
Sasa wanawake wengine kuanzia asubuhi mpk usiku anamsikiliza zuchu umbea sjui lokole nk hawezi kuwa nanakili hyo

Ova
Wa kwetu mkuu zaidi ya kututafuna hata idea hawana kabisa
Wengi wao sio kubuni tu hata kujituma hawataki
 
Back
Top Bottom