KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #41
Jamaa amewaza kiboya sanaUsiwavunje moyo
Unazungushia ukuta bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa amewaza kiboya sanaUsiwavunje moyo
Unazungushia ukuta bwana
Yah! Sahihi labda usomee kwanza jinsi ya kuishi na Feminist.Akiwa kwa wazazi wake ndio ila akija kwako atakutesa hadi ufe
Inasikitisha sanaKwenye mitandao kutwa kushindana kuonesha na kutingisha makalio tu
Ova
Mafunzo yanatolewa na chuo GANI?Yah! Sahihi labda usomee kwanza jinsi ya kuishi na Feminist.
Maarifa yapo, ukiwa mchokonozi utayapata hata mitandaoni humu.Mafunzo yanatolewa na chuo GANI?
humo kwenye wengi ndo navibaka wapo humohumo!Hii niliiona mda sasa
Kwa kweli ni nyumba nzuri kwa sehemu za joto
Kama mbao zitahimili miaka kadhaa sio mbaya
Ubunifu mzuri ila kwa vibaka sijui itakuwaje
Labda tupangane wengi kiusalama zaidi
Mnaishi familia 20 tu na ngome yenu 😄humo kwenye wengi ndo navibaka wapo humohumo!
tutawafata!Mnaishi familia 20 tu na ngome yenu 😄
Kuna wamarekani waliamua kujitenga na vurugu za watu
Wakaenda mbali na mji wakajenga nyumba zao hakuna vibaka wala nini
Yaani wamejenga mji wao tu kwa kujichagua
Ngoja na mimi nitafute watu tukaanze maisha ya pekee sehemu au unaonaje
CCTV, Mbwa wakali, ulinzi na kila wakati police wanapiga patrol tunawalipatutawafata!
tutawaroga!CCTV, Mbwa wakali, ulinzi na kila wakati police wanapiga patrol tunawalipa
Mjichanganye sasa 😄
Watoto wa kike ukibahatika na ukawalea vizuri wanarudisha fadhila kuliko wa kiume.Baba msikivu na mtendaji. Wazazi wengi tunapuuza mawazo ya watoto wa kike
Basi tumegairi sasa kama tumefika hukotutawaroga!
👍Basi tumegairi sasa kama tumefika huko
Acha tutulie tu hapa hapa
Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza kuhamishwa kwa madai ya kutaka kuendana na maendeleo dunia ya sasa.
Peter akizungumza na GADI TV wilayani humo, amesema wazo hilo amelipata kwa mwanae wa kike baada ya kupita zaidi miaka 20 akiwa anafanya biashara ya kuuza mbao pamoja fanicha mbalimbali.
Aidha, Laura Peter ambaye ni mtoto wa mfanyabishara huyo, amesema wazo hilo aliwasilisha kwa baba yake kwa lengo la kuweka kumbukumbu lakini kwasasa wazo hilo limepanuka na kuwa wazo la kibishara kutokana na watu mbalimbali kuvutiwa zaidi na kuonyesha nia kuhitaji kutengenezewa nyumba za mfumo huo.
Hata hivyo, Laura amesema kwakuzingatia ubora wa nyumba hizo wanatumia mbao zenye ubora wa hali ya juu, na miongoni mwa nyumba hizo zitafungwa tairi ili kurahisisha uhamaji wake.
View: https://www.facebook.com/share/v/19mZ8rks12/
Kuna jitu litajitokeza na kusema lilimpa binti wazoAidha, Laura Peter ambaye ni mtoto wa mfanyabishara huyo, amesema wazo hilo aliwasilisha kwa baba yake kwa lengo la kuweka kumbukumbu lakini kwasasa wazo hilo limepanuka na kuwa wazo la kibishara kutokana na watu mbalimbali kuvutiwa zaidi na kuonyesha nia kuhitaji kutengenezewa nyumba za mfumo huo.
Wabongo kwa kujichomeka, hatujamboKuna jitu litajitokeza na kusema lilimpa binti wazo
Safi sanaMaarifa yapo, ukiwa mchokonozi utayapata hata mitandaoni humu.
Mfano hapa nimetumia chat GTP; 👇
1. Heshimu Akili na Maoni Yake
Thamini fikra zake na mchango wake katika mazungumzo au maamuzi. Usihisi kutishiwa; badala yake, chukulia akili zake kama nguvu ya kuboresha uhusiano wenu.
2. Jifunze Kutoka Kwake
Mwanamke mwenye akili anaweza kuwa chanzo cha maarifa na motisha. Sikiliza kwa makini na uwe tayari kujifunza kutoka kwa uzoefu na maoni yake.
3. Wasiliana kwa Kina
Mwanamke mwenye akili anapenda mazungumzo yenye maana. Jadilini masuala makubwa ya maisha, mipango, au hata mada za kijamii na kiuchumi.
4. Kua Sambamba Naye
Hakikisha unajitahidi pia kukuza akili na ujuzi wako. Mwanamke mwenye akili ataheshimu juhudi zako za kujiboresha.
5. Heshimu Uhuru Wake wa Kufikiri
Acha afanye maamuzi bila kuhisi kushinikizwa au kudhibitiwa. Uhuru wa mawazo ni jambo muhimu kwake.
6. Usishindane Naye
Mahusiano si ushindani wa nani ana akili zaidi. Badala yake, fanyeni kazi kama timu, mkikamilishana kwa nguvu zenu.
7. Tambua Juhudi Zake
Mwanamke mwenye akili nyingi mara nyingi hufanya kazi kwa bidii kufanikisha malengo yake. Shukuru na kupongeza kazi yake bila kusita.
8. Kuwa Na Uhakika wa Nafasi Yako
Usiruhusu mafanikio au maarifa yake yakufanye uhisi duni. Kuwa thabiti na mwenye kujiamini, huku ukimpa msaada wa kihisia na kivitendo.
9. Kuwa Mwenye Msaada wa Vitendo
Saidia katika maeneo ambayo anaweza kuwa na changamoto, hata kama si mara zote atahitaji msaada.
Kuishi na mwanamke mwenye akili nyingi kunahitaji heshima ya pande zote, mawasiliano mazuri, na ushirikiano wa kweli.