Kutana na Raphael Tenthani - mtangazaji mchafu zaidi duniani

Kutana na Raphael Tenthani - mtangazaji mchafu zaidi duniani

Elli umetisha, nimecheka hadi nimepaliwa

Hahahahahaaaaa Mpwa ni lazima wakati unasoma nilichokiandika basi ulikuwa unahesabu ulizovaa. Uongo? Kuwa mkweli, hapo umevaa ngapi? Na fikiria kuna mwingine hana hata hio moja
 
Last edited by a moderator:
Ananikumbusha mwandishi mmoja ambae sasa hivi ni marehemu.. Alikuwa anaitwa Mnenge Suluja.. Alikuwa so rough na alikuwa anapiga sana ile konyagi pori (gongo).. But alikuwa vizuri sana upstairs..
 
1073338_10151559154026235_40246593_o.jpg
 
Hahahahahaaaaa Mpwa ni lazima wakati unasoma nilichokiandika basi ulikuwa unahesabu ulizovaa. Uongo? Kuwa mkweli, hapo umevaa ngapi? Na fikiria kuna mwingine hana hata hio moja
Hujakosea
 
Nadhani hiyo picha alipiga kwa lengo maalumu. Ukisoma profile yake ni mwandishi wa mashirika makubwa kama AP, BBC na mengine. Uandishi wake pia sio rafiki kwa serikali mchini Malawi. Uki google images zake, anaonekana kuwa smart kama waandishi wengine.
 
Zikomo kwa mbili

Raphael (Ralph) Tenthani is a freelance journalist from Malawi. Tenthani is a BBC correspondent and a columnist in for The Sunday Times.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] He is a respected journalist in Malawi well known for his popular column, "The Muckraking".[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] He is well known for providing political analysis on topical issues.[SUP][4][/SUP] He has been the subject of controversy for his candid reporting on political issues.[SUP][5][/SUP] He was very critical of the crackdown on journalism during the Bingu wa Mutharikaadministration.[SUP][5][/SUP] He is also a columnist for Associated Press, Pan African News Agency, and the Maravi Post.[SUP][2][/SUP][SUP][6][/SUP]
 
Ya made my day with this.
Nimecheka mpaka mwanangu wa miezi sita akaungana nami bila hata ya kujua kinifurahishacho!
Big up to him... Some of us may judge him and even call him names but "journalism is an art and he has proven that". Ninauhakika wengi hupenda kufanya mahojiano nae kwa namna alivyo!
 
Back
Top Bottom