Kutana na Raphael Tenthani - mtangazaji mchafu zaidi duniani

Alishafariki last year huyu
Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea duniani

Raphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara kwa mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda mwingine nguo zenye matobo au viraka

Raphael ingawa ni mwandishi wa habari katika shirika la habari la BBC nchini malawi lakini kwenye suala la usafi yeye limemkalia kushoto sana ,wakati mwingine unaweza ukakutana nae nywele hajachana, viatu vimeachama , mdomo unanuka na mara kwa mara anakuwa katika hali ya ulevi

Raphael amekuwa gumzo sana katika mitandao ya kijamii huku wengi wakimuhisi huenda anafanya hivyo ili asivunje masharti ya mganga

Ni kawaida kumuona Raphael akirusha habari akiwa mchafu bila kujali mahali husika alipo kuwepo.

View attachment 398186

View attachment 398188
 
cia, m16, mossad, au kgb
 
Hahahah .. Dah bbc wanaakili kweli.. Wanaangalia professionalism... Hatari sana.. Hapa bongo sidhani kama atapata ajiri hata kwenye kampuni bubu kama yangu
 
1473604478272.png

Hii picha ni kama maeneo flan kabla hujafika Segera njia panda ya Tanga. Dah bas mchiz alijituma sana had Bongo kuhoj
 
Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea duniani

Raphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara kwa mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda mwingine nguo zenye matobo au viraka

Raphael ingawa ni mwandishi wa habari katika shirika la habari la BBC nchini malawi lakini kwenye suala la usafi yeye limemkalia kushoto sana ,wakati mwingine unaweza ukakutana nae nywele hajachana, viatu vimeachama , mdomo unanuka na mara kwa mara anakuwa katika hali ya ulevi

Raphael amekuwa gumzo sana katika mitandao ya kijamii huku wengi wakimuhisi huenda anafanya hivyo ili asivunje masharti ya mganga

Ni kawaida kumuona Raphael akirusha habari akiwa mchafu bila kujali mahali husika alipo kuwepo.

View attachment 398186

View attachment 398188
HABARI YA ZAMANI SANA NA HUYU JAMAA ALISHAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI WAKATI ANAVUKA BARABARA
 
Jamaa nasikia alikuwa mwandishi mahiri hasa...kiasi alikuwa mwiba mchungu hasa wa Prof.Bingu wa Mutharika....rip
 
Ananikumbusha mwandishi mmoja ambae sasa hivi ni marehemu.. Alikuwa anaitwa Mnenge Suluja.. Alikuwa so rough na alikuwa anapiga sana ile konyagi pori (gongo).. But alikuwa vizuri sana upstairs..
Hawa watu ambao wako vizuri upstairs lazima moja infyatuka, sijui ni kwanini?
 
Back
Top Bottom