Kutana na Raphael Tenthani - mtangazaji mchafu zaidi duniani

Dah alifariki Akiwa na Miaka 44 tu!
 
Alikuwa vizuri sana kwenye kazi yake, hapo chini ni tunzo (awards) alizopata wakati wa uhai wake.
  • Best Columnist, MISA Malawi Awards - 2012, for Daily Times
  • UN Media Award 2010, for Associated Press Millennium Development Goals (MDG) correspondence
  • Nyasatimes human Rights and Democracy Award, 2010
 
Kwenye kutochana nywele walikuwa wanamsingizia. Picha namba mbili anaonekana anakipara sasa anachana nywele zipi?? Kwasiku za leo angekuwa kama dr shika, bilionea anayetembea kwa mguu toka mwenge hadi mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…