Kutana na Selebu Mboni

Kutana na Selebu Mboni

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
180371_1842993081209_1432075923_32087894_6624853_n%255B1%255D.jpg
DSC04813.JPG

Huyu bibie Mboni nasikia alishawahi toka na Samuel Etoo wakati Cameroon walipokuja kucheza na Taifa stars...Ana kila sababu ya kushangilia ushindi wa Inter
 
Mfunyu unafanya kazi kwa shigongo au?
Hebu rudisha ile avatar yako basi nipate apetaiti.........
 
Aah! Jamani kwani vp? Mbona mnatupia details in a half way? Mboni(ya jicho) au na baada ya hapo ni nani Baba yake? Au nyusi au kope... Nogesheni hadi mwisho jamani...
 
na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
 
ni nani huyu dada,mwanamziki au?.
 
Duh! Mie ndo wanitonya hiyo khabar maridhia, hivo wao ndo kazi yao hiyo kushikwashikwa tu! Na jamaa waking'oa nanga basi ndo inakuwa hadithi tu, ah! Jamani dada zangu enh! Jitahidini basi angalau mfanye kitu kinachoonekana, mbakisheni mmoja angalau tujue nyie wabayaa! Enh! Sio mwishie kuandikiwa barua pepe! Mara oh! Nimikukumbuka au ntakuja... Na n.k... Wekeni hishma ya nchi kidogo... Enh! Kaka zenu nasi tupete.. Mbona madodo yanakolea vipi hawa masupa ya ustaa? Hayang'olekii..
 
na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.

Usikute Eto'o hakubeba hata huo mzoga ulijipendekeza tu.
 
Jamani tuelezeeni basi.....huyu dada ni nani hapa mjini? anafanya shughuli gani? Mwenye details zaidi azimwage jamvini......!!
 
Mjasiliamali ana duka la viatu na vipodozi, liitwalo Chocolate Princess Boutique Lipo Mikocheni karibu na Kwa Mwalimu kwenye maduka mapya katika jengo la kiota maarufu cha 'Talk of Town' katika barabara iendayo Rose Garden.

DSC_2488.jpg

Ni muuza sura pia maarufu mjini, sehemu yeyote akiwepo lazima ahakikishe ame hit na kila mtu amemjua!
 
mmmh Dr. Manyuki wee ni mpana duh!!!!

na wewe ni selebu??
 
huko dar kitu kidogo tu kinakufanya uwe celebrity.....
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!
 
Siku hiyo na Fally alicheza naye alivaa suti ya rangi ya khaki ikiacha kitovu na embe dodo nje mwaa loh huyo Mboni kweli ni Mboni ya jicho, ni mtoto maridhawa saana,hakika ukiwa mtu rijali lazima utapata mwasha washa umuonapo,Mungu kampendelea bana,tatizo anapenda wale walio matawi ya juu a.k.a wenye sifa na walionazo,ukiwa lofa utaishia kumuona na akina Etoo na akina Fally
 
yaani nimecheka mpaka nimeliaaa...haaa
 
Siku hiyo na Fally alicheza naye alivaa suti ya rangi ya khaki ikiacha kitovu na embe dodo nje mwaa loh huyo Mboni kweli ni Mboni ya jicho, ni mtoto maridhawa saana,hakika ukiwa mtu rijali lazima utapata mwasha washa umuonapo,Mungu kampendelea bana,tatizo anapenda wale walio matawi ya juu a.k.a wenye sifa na walionazo,ukiwa lofa utaishia kumuona na akina Etoo na akina Fally

IMG_2766.JPG

Hahahahah kwenye list ya Mseminary Amatus nadhani aliwekwa
 
Back
Top Bottom