Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Huyu bibie Mboni nasikia alishawahi toka na Samuel Etoo wakati Cameroon walipokuja kucheza na Taifa stars...Ana kila sababu ya kushangilia ushindi wa Inter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
ni nani huyu dada,mwanamziki au?.
na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
Mjasiliamali
huko dar kitu kidogo tu kinakufanya uwe celebrity.....
tena uchafu uchafu hivi, yaani utakuwa maarufu fasta
Jamani tuelezeeni basi.....huyu dada ni nani hapa mjini? anafanya shughuli gani? Mwenye details zaidi azimwage jamvini......!!
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!huko dar kitu kidogo tu kinakufanya uwe celebrity.....
mmmh Dr. Manyuki wee ni mpana duh!!!!
na wewe ni selebu??
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!
Siku hiyo na Fally alicheza naye alivaa suti ya rangi ya khaki ikiacha kitovu na embe dodo nje mwaa loh huyo Mboni kweli ni Mboni ya jicho, ni mtoto maridhawa saana,hakika ukiwa mtu rijali lazima utapata mwasha washa umuonapo,Mungu kampendelea bana,tatizo anapenda wale walio matawi ya juu a.k.a wenye sifa na walionazo,ukiwa lofa utaishia kumuona na akina Etoo na akina Fally