Kutana na Selebu Mboni




Hapo akiwa kwenye kitchen party ya mish bomba. Huyu hakosi kitchen party ya watu matawi ya juu.
 
Mboni na Joan yaelekea ni maswahiba sana muda mwingi wako wote au kwa kuwa wote muzee Liumba aliwapitia?




Nimevutiwa na kivazi cha buluu mpauko iliyokolea kidogo cha JOAN
 
Kweli bongo tambarare.........dada zetu wako kijasiriamali zaidi!!!

Ndo maana Mange anakomaa na mashefa wa kithungu tuuuu!!
 
Best mbona unahasira leo ama hii inatokana na maamuzi ya hakimu huko Kisutu?

aaah ngoja nirelax nisije husishwa na motokaa zenye rangi nyekundu ilhali mgawo ulinikosa!!
 
...Kwa hiyo yeye ni 'JAMVI LA WAGENI' maarufu na yeye mwenyewe anapenda kutambulika hivyo??
 
 
Huyu Mboni nshamuweka kwenye crosshairs zangu...nikitua bongo lazima nimmege huyu. Stay tuned.....
 
Wee! Bwana wee so shida yako ni kummega tu celebuu! Ahaahaa! Inawezekana mashineye iko oda mbna watu wana2pia sana masnake yao hapo!...
 
Dah! Masanilo na wadau,

Bado hamjaacha tu?, nilipotea kidogo kurudi nakuta bado mnaendeleza.

Nadhani dada yetu Mbonie analenga au ana "kismati" na mastaa.. ofcozi sio kuwa mastaa wakija wanamtafuta, kunakua na connection.

Hila hayo ni yake sisi haituhusu. humu kuna mibaba inatembea na ma hausi geli wao na hamjisemi.
Kama ni ngono zembe au salama anajua Mboni mwenyewe.

Hiyo ya mseminary na Mboni ni mpya ndo naisikia
Masaki na masanilo nipeni hiyo story.

FP
 
Dah washkaji nimewakubali kwa kufukunyua mambo. Lakini kwa kweli ni demu bomba hata Fally alipagawa na ndio maana aliogopa kumshika kama alivyokuwa akiwashikashika wanawake wengine waliojipendekeza kucheza naye.
 


Hapo kwenye weusi, Inakuuma wewe ama yeye?:yuck:
 
Dah washkaji nimewakubali kwa kufukunyua mambo. Lakini kwa kweli ni demu bomba hata Fally alipagawa na ndio maana aliogopa kumshika kama alivyokuwa akiwashikashika wanawake wengine waliojipendekeza kucheza naye.


Zaidi ya ile cleavage she is just average looking guyz! Labda u special alionao ni namna anavyoweza ku-ji-connect! Kwa hilo she is realy a star!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…