FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Huyu Mboni nshamuweka kwenye crosshairs zangu...nikitua bongo lazima nimmege huyu. Stay tuned.....
Hahahaha Komredi huyu anataka wenye majina
Nadhani kina Mboni sasa watakaa mkao wa kula maana Brazil national team will be in town to play Taifa Stars on June 7. Sijui atamuopoa Robinho au Kaka?
Usisahau na li-blackberry hata kama la kichina.
una hela weye nyani?
Of course, I got cheese. Kwani anagharimu kiasi gani huyo? Not much...I don't think. She ain't no Kim Kadarshian.....
Ili mradi uwe unaongea kizungu kwa sana, uwe umeshika simu kali ya bei mbaya na uwe unakunywa Heineken au Henesy....
Atanielewa kweli nikiamua kutema yai?
duh!na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
utakubaliwa tu kaka maana ni mojawapo ya vitu anayvovyitakaJamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.
Sisi wabongo wabishi kweli,mshaambiwa AMATUS LIYUMBA alishamega bado mnangangania tu.Fungueni bima za maisha kwanza msije mkawatia ndugu zetu kwenye matatizo.
Babu Mseminary mapito yake ni marefu sana hapo mjini unaweza ukajikuta umekuwa mseja.....labda wakumbushe vijana kutumia kinga!
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!