Kutana na Selebu Mboni

Kutana na Selebu Mboni

Sidhani kama ni U staa kulala na kila mwanamuziki au mchezaji anayekuja Tanzania.

Kwangu mimi nadhani ni kujidhalilisha au ni HOBBY yake.

Ila sio SIFA
 
Of course, I got cheese. Kwani anagharimu kiasi gani huyo? Not much...I don't think. She ain't no Kim Kadarshian.....

Ili mradi uwe unaongea kizungu kwa sana, uwe umeshika simu kali ya bei mbaya na uwe unakunywa Heineken au Henesy....
 
Jamani mbona mmemshusha hivi huyu mdada? kila siku nasema biashara haifanyiki kama hakuna wateja!!!
 
na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
duh!
 
Sisi wabongo wabishi kweli,mshaambiwa AMATUS LIYUMBA alishamega bado mnangangania tu.Fungueni bima za maisha kwanza msije mkawatia ndugu zetu kwenye matatizo.
 
Sisi wabongo wabishi kweli,mshaambiwa AMATUS LIYUMBA alishamega bado mnangangania tu.Fungueni bima za maisha kwanza msije mkawatia ndugu zetu kwenye matatizo.

Babu Mseminary mapito yake ni marefu sana hapo mjini unaweza ukajikuta umekuwa mseja.....labda wakumbushe vijana kutumia kinga!
 
Babu Mseminary mapito yake ni marefu sana hapo mjini unaweza ukajikuta umekuwa mseja.....labda wakumbushe vijana kutumia kinga!

hahaaaaaa Manyuki bana umenichekesha sana!!!!

ya nini kuwa mseja si waambie vijana wakaoe zenji tu??
 
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!

kula gwala Dnovo.!
 
Back
Top Bottom