Kutana na Selebu Mboni



Ni bora angejitoma wakati mechi inachezwa kama huyu jamaa japo aambulie hug...
 

Attachments

  • BRAZILCHIZI.jpg
    19.3 KB · Views: 640
Da bonge la eataimu..
Nadhani Wa-seminary wengine watahitaji kumfahamu zaidi
 
Nafikiri safari hii huyu dada aliambulia patupu, sidhani kama alipata hata nafasi ya kushikana mkono na mchezaji yeyote wa Brasil.

Au makuwadi wake waliweka dau kubwa????
 
Upupu!!!!!!!!!!!!!!!! Ze u.t.a.m.u

Duuu watu wengine vituko!
 
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu![/QUOTE

LOLZ!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…