Kutana na vijana waliowahi kulala usingizi wa miaka 309 nchini Jordan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a point huenda kukawa na scientific significant ya kulala krbu na mbwa nkuunga mkono lets immense the scientific mysterious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzuri sana Sheikh nimeisoma na nimeipenda.
Ila nimekosa scientific proof kuhusu waliwezaje kulala kwa muda wote bila kulishwa au kula na wakabaki hai
 
Nzuri sana Sheikh nimeisoma na nimeipenda.
Ila nimekosa scientific proof kuhusu waliwezaje kulala kwa muda wote bila kulishwa au kula na wakabaki hai
Una amini muujiza wa Musa AS kuigawa bahari, Nuhu AS na Safina, ila unatia shaka Mwenyezi Mungu kuwalaza watu miaka 300 !
 
hivi ndio vitabu vya mungu zaburi alipewa daud tawrat mussa injili yesu quraan muhammad je biblia alipewa mtume gani ?
Na ndani ya Biblia hamna Injil ya Yesu, kuna ya Luka, Mathayo, Yohana na Marko.
 
Una amini muujiza wa Musa AS kuigawa bahari, Nuhu AS na Safina, ila unatia shaka Mwenyezi Mungu kuwalaza watu miaka 300 !
Nimeuliza kwakuwa lengo la post yako ulikuwa una relate mazingira waliyokuwepo na ushahidi wa kisayansi, ukaongelea jua na mwili kupoteza maji na mengine mengi tu.
Ndiyo maana nikakuuliza kuhusu kula.
Najua kazi ya Mungu haihitaji science wala laws of nature anaweza tenda lolote nje ya kanuni tusijuazo ila nimekuuliza kwakuwa ulikuwa wajaribu uoanisha utendaji wake na kanuni na shahidi za kisayansi.
 
You have a point huenda kukawa na scientific significant ya kulala krbu na mbwa nkuunga mkono lets immense the scientific mysterious

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani hakuna kitu hapo, huyo mbwa alikuwa wa mchungaji, mchungaji (mifugo) alipowaona jamaa wanakwenda jificha na yeye akajiunga na mbwa wake (ni hadithi ndefu), kufika pangoni yakawakuta hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…