naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hakuna kilichokuwa macho mkuu wote walipitiwa na usingiziKwa maana hiyo na mmbwa nae alikaa macho miaka 300 eti.....!!!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kilichokuwa macho mkuu wote walipitiwa na usingiziKwa maana hiyo na mmbwa nae alikaa macho miaka 300 eti.....!!!???
Mkuu aliyewalaza anajua zaidi kuliko sisiNzuri sana Sheikh nimeisoma na nimeipenda.
Ila nimekosa scientific proof kuhusu waliwezaje kulala kwa muda wote bila kulishwa au kula na wakabaki hai
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu,sasa hizo dini zengeni zinafuata mafundisho ya kitabu gani kati ya vitabu vilivyopo kwenye biblia?"BIBLIA" Ina Mambo Yote, Kwa Nini Dini Zote Inafuata mafundisho Ya Biblia?
Biblia TakatifuBiblia ni mkusanyiko wa vitabu,sasa hizo dini zengeni zinafuata mafundisho ya kitabu gani kati ya vitabu vilivyopo kwenye biblia?
Kwani Biblia ni kitabu cha dini gani?Biblia Takatifu
Biblia Takatifu
Msishangae sana. Waliogundua maandishi ni wa Egypt wazungu waka overtake. Hamna cha ajabu hapo. Mbona mzungu mnasema aligundua ziwa Tanganyika hambishi? Kwani wakati analiona hilo ziwa wenyeji wa eneo hilo walikuwa wapi?Kweli mkuu...
Wazungu wanagundua vitu vingi sana vikubwa duniani...
Watu wa mapangoni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Waarabu hawana Qur'an, na Biblos lilitungwa na Wayunani. Usiandike comment kijinga kijinga
Kajifunze kuandika Kiswahili kisha urudi tena. Pumbaffffffff.Jamaa naona umegeuza msikiti humu,mala watu wamelala miaka 309 mala hadith hueleweki na lihadith lako huko,peleka madrasa
Sent using Jamii Forums mobile app