Kutana na Wanawake Hatari Zaidi Duniani

Kutana na Wanawake Hatari Zaidi Duniani

Vip yule mama wa kuitwa benadhir bhuto (sina hakika kam nimeandika sahihi)????
 
Nilitegemea kuwaona wanawake wa shoka kama Condoleeza Rice Jasusi nguli na aliyekuwa mshauri wa masuala ya usalama na baadae kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani enzi za utawala wa George Bush.

Condoleeza Rice hajawahi kuolewa, kuwa na mume wala kuzaa mtoto. JASUSI mbobezi aliyeiva.
 
Atakuwa anapiga sana puli
 
Back
Top Bottom