Kutangaza biashara na bidhaa kwa njia ya email

kwimbere

Member
Joined
May 15, 2013
Posts
7
Reaction score
4
Niliwapa ushauri ndugu zangu wanaotafuta kazi kuwa, kuna watu wengi akiwemo miongoni mwao mwanangu aliyeweza kupata kazi kwenye kampuni moja Dar, kupitia Kaskazini Mailing List ambayo inasemekana kuwa na members zaidi ya 9800 wakiwemo vigogo kwenye makampuni mengi nchini. Ila watanzania wengi wanafikiri kuwa ukishajiunga basi unagarantii ya kupata kazi. Nimepata email nyingi za watu wakiuliza kuwa wameweka tangazo na wanangoja kama wataitwa na makampuni tofauti.....
Naomba niwafafanulie...Hii Mailing List ni njia ya kutuma ujumbe ambapo watu kama wanaotafuta kazi, wafanyabiashara, watu wanaouza vitu mbalimbali kama magari na viwanja kutuma matangazo yao ambayo yatawafikia watu wote ya email, ukiangalia siku hizi watu wengi wana simu za kisasa ambapo email zinaingia kama message. Kujiunga ni bure kwa kutuma email kwenda (kaskazinimailing+subscribe@googlegroups.com) . Ukishajiunga, unaweza kutuma tangazo lako lolote, utatuma tangazo lenyewe kwa email kwenda (kaskazinimailing@googlegroups.com), na wao watalipost na kama member pia wewe na watu 9800+ utaweza kulipata kwenye email yako uliojiunga nayo.Pia vilevile utakuwa ukipata matangazo ya watu wengine(madili), na hii ni faida kwako kwani utaweza kupata matangazo ya vitu unavyotaka au watu wanavyotaka ila hawajui pakuvipata. Na hawa jamaa wameanza kucharge Tshs.10,000 kabla hawajarusha tangazo lako, Utapata taratibu zao baada ya kujiunga.
 
This is a good initiative. My small advise to those who have been posting and waiting forever - - they must use attractive, simple and neat language and give enough details. Also you must indicate that you are such a personality/company/firm from whom anyone will desire to buy goods, services or skills from.
Just as an example, I saw someone stating that he has graduated from college many years ago and has been struggling to get employment and is therefore deliberately seeking a job. Who do you think is interested to hear the untold stories like those????
 
Bold: they call the KEY WORDS
 
aisee nimeamua kujoin ili nipost huku...nilisoma habari hii kama visitor, kwa kuwa mimi siitaji ajira, nilimwambia rafiki yangu ajaribu na sasa yuko safarini kwenye interview kwenye kampuni moja ya tours huko arusha....nimetangaza mauzo ya shamba langu nimepigiwa simu na watu sita mpaka sasa wawili wako serious na nawangoja waje kukagua....ila hawa jamaa wa kaskazini sasa wanacharge shilingi 5000....hawa jamaa wapewe promo na hivi inaonekana kusaidia watu wengi....jamaa wa kaskazini big up sanaaaaaa
 
Niliwapa ushauri ndugu zangu wanaotafuta kazi kuwa, kuna watu wengi akiwemo miongoni mwao mwanangu aliyeweza kupata kazi kwenye kampuni moja Dar, kupitia Kaskazini Mailing List ambayo inasemekana kuwa na members zaidi ya 9800 wakiwemo vigogo kwenye makampuni mengi nchini. Ila watanzania wengi wanafikiri kuwa ukishajiunga basi unagarantii ya kupata kazi. Nimepata email nyingi za watu wakiuliza kuwa wameweka tangazo na wanangoja kama wataitwa na makampuni tofauti.....
Naomba niwafafanulie...Hii Mailing List ni njia ya kutuma ujumbe ambapo watu kama wanaotafuta kazi, wafanyabiashara, watu wanaouza vitu mbalimbali kama magari na viwanja kutuma matangazo yao ambayo yatawafikia watu wote ya email, ukiangalia siku hizi watu wengi wana simu za kisasa ambapo email zinaingia kama message. Kujiunga ni bure kwa kutuma email kwenda (kaskazinimailing+subscribe@googlegroups.com) . Ukishajiunga, unaweza kutuma tangazo lako lolote, utatuma tangazo lenyewe kwa email kwenda (kaskazinimailing@googlegroups.com), na wao watalipost na kama member pia wewe na watu 9800+ utaweza kulipata kwenye email yako uliojiunga nayo.Pia vilevile utakuwa ukipata matangazo ya watu wengine(madili), na hii ni faida kwako kwani utaweza kupata matangazo ya vitu unavyotaka au watu wanavyotaka ila hawajui pakuvipata. Na hawa jamaa wameanza kucharge Tshs.10,000 kabla hawajarusha tangazo lako, Utapata taratibu zao baada ya kujiunga.

Wamepunguza bei watu wengi walilalamika sasa ni sh.5000
 
Kutangaza biashara kwa email kuna tatizo lake. Mail box itajazwa na junk mail nyingi, matangazo ya vitu usivyohitaji.

Ni usumbufu na nafikiri siyo njia nzuri kutangaza.
 
Back
Top Bottom