Niliwapa ushauri ndugu zangu wanaotafuta kazi kuwa, kuna watu wengi akiwemo miongoni mwao mwanangu aliyeweza kupata kazi kwenye kampuni moja Dar, kupitia Kaskazini Mailing List ambayo inasemekana kuwa na members zaidi ya 9800 wakiwemo vigogo kwenye makampuni mengi nchini. Ila watanzania wengi wanafikiri kuwa ukishajiunga basi unagarantii ya kupata kazi. Nimepata email nyingi za watu wakiuliza kuwa wameweka tangazo na wanangoja kama wataitwa na makampuni tofauti.....
Naomba niwafafanulie...Hii Mailing List ni njia ya kutuma ujumbe ambapo watu kama wanaotafuta kazi, wafanyabiashara, watu wanaouza vitu mbalimbali kama magari na viwanja kutuma matangazo yao ambayo yatawafikia watu wote ya email, ukiangalia siku hizi watu wengi wana simu za kisasa ambapo email zinaingia kama message. Kujiunga ni bure kwa kutuma email kwenda (kaskazinimailing+subscribe@googlegroups.com) . Ukishajiunga, unaweza kutuma tangazo lako lolote, utatuma tangazo lenyewe kwa email kwenda (kaskazinimailing@googlegroups.com), na wao watalipost na kama member pia wewe na watu 9800+ utaweza kulipata kwenye email yako uliojiunga nayo.Pia vilevile utakuwa ukipata matangazo ya watu wengine(madili), na hii ni faida kwako kwani utaweza kupata matangazo ya vitu unavyotaka au watu wanavyotaka ila hawajui pakuvipata. Na hawa jamaa wameanza kucharge Tshs.10,000 kabla hawajarusha tangazo lako, Utapata taratibu zao baada ya kujiunga.