Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
UnapoUsitushawishi sisi tukaandamane kwa ajili yako, andamana wewe mwenyewe uliyekuwa unagombea maana ndie uliyedhulumiwa. Sasa mimi niandamane kwani nimedhulumiwa nini? Usitake tukusaidie kukamilisha ndoto zako, nasi tunazo za kwetu nahitaji kuzikamilisha. Pambaneni kivyenu.
Raia wapo kama hakujafanyika jambo lolote kwa sababu walio wengi walienda kupiga kura kwa ajili ya mabadiliko, Sasa wanashangaa kutangaziwa ushindi wa watu ambao hawakuwachagua, Watu maelf kwa maelf wanaugulia kilichoitwa uchaguzi Tanzania.Wananchi huko mitaani wameyapokea vp matokeo ya huu uchaguzi?
Usiishie kwenye keyboard tuMm kwa uchungu nilio nao naona muda na masaa yanachelewa.
ICC wenyewe wamefungiwa na Trunp kisa ufisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ICC inamhusu Siro. Mnamponza baba wa watu. Ataacha familia yake.
Hivi kwann polisi mnampigania mwizi?
Unataka kachukueWazanzibari tupo tayari
Tunataka silaha tuondoe majeshi ya Burundi yaliopo Pemba
Ongea wewe unaedhani demokrasia ni kuchagua upinzani tu.Kaa kimya kuficha ujinga wako
Watu wenyewe 3MWananchi wataandamana kwa kuwa kura zao zimeibwa na haki yao ya kuchagua viongozi imekanyagwa
Ndugu Quinine mbona kama vifungu vingine ni taratibu za kuandaa harusi vile? Hayo mahema utayatayarishaje hapa kwa Mambonow bila kuvamiwa?
Bongo so libya hakuna kitu kitatokeaa wala nnHata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.
Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.
Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Unafikiri Libya ilianza kama ilivyo? Wananchi wa Libya walikuwa wapole na watulivu kuliko watanzania, Gaddafi akawafikisha kwenye kilele Cha hasira.Bongo so libya hakuna kitu kitatokeaa wala nn
Naamnn mgogoro wa libya uta kua huja ufatilia vizuriUnafikiri Libya ilianza kama ilivyo? Wananchi wa Libya walikuwa wapole na watulivu kuliko watanzania, Gaddafi akawafikisha kwenye kilele Cha hasira.
Gaddafi wa Tanzania ni jiwe.
Hakuna jeshi la Burundi wala nn Burundi hawawez kutoa wana jeshi wake wakat wao mwenyewe wako hatarini jirani zao kongo kila uchao mambo hovyo na kumbuka wamepakana na majimbo ambayo hayako salama so lazma watie nguvu kulinda maeneo yaoMaandamano ya zanzibar hayakufanikiwa kwasababu ccm wamejaza majeshi yandani nayakukodi kutoka burundi.
Dhuluma hainaga culture. Haki na amani ni kama maji na moto.Naamnn mgogoro wa libya uta kua huja ufatilia vizuri
Pia inatakiwa ujue kua culture ya wa libya na watanzania ni tofauti sanaa
Haki gan na dhuluma ipiDhuluma hainaga culture. Haki na amani ni kama maji na moto.
Kama haupo nchini rudi uyaone. Na kama upo nchini utakuwa ushajionea mwenyewe. Usinipotezee muda kuyarudia. Soma hata humu JF Kuna threads kibao zimeyaeleza.Haki gan na dhuluma ipi