Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Usitushawishi sisi tukaandamane kwa ajili yako, andamana wewe mwenyewe uliyekuwa unagombea maana ndie uliyedhulumiwa. Sasa mimi niandamane kwani nimedhulumiwa nini? Usitake tukusaidie kukamilisha ndoto zako, nasi tunazo za kwetu nahitaji kuzikamilisha. Pambaneni kivyenu.
Unapo
Wananchi huko mitaani wameyapokea vp matokeo ya huu uchaguzi?
Raia wapo kama hakujafanyika jambo lolote kwa sababu walio wengi walienda kupiga kura kwa ajili ya mabadiliko, Sasa wanashangaa kutangaziwa ushindi wa watu ambao hawakuwachagua, Watu maelf kwa maelf wanaugulia kilichoitwa uchaguzi Tanzania.
 
tutakua tukifanya usafi kesho.
Screenshot_2020-11-01-16-19-10.jpg
 
ICC inamhusu Siro. Mnamponza baba wa watu. Ataacha familia yake.

Hivi kwann polisi mnampigania mwizi?
ICC wenyewe wamefungiwa na Trunp kisa ufisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuandamana ni mbinu ya kipuuzi sana kutumika hapa kwetu.

Kwanza hakuna mtu anayeona aibu kuona anapingwa kwa njia ya maandamano.Pili kuna watu watauwawa,wataumizwa na kuwa vilema wa maisha,na wengine kufungwa na bado hakuna hata mtu mmoja mwenye uwezo atakayechukua hatua za kutetea watu hao.

Mambo haya ndiyo yanasababisha hawa waoinzani waonekane hawana maana.Maana njia hii ni kama kuwapa nafasi ccm ya kufurahia walichokifanya.Mnataka tu muwape maneno ya kuongea huko bungeni huku mkizodolewa.

Hivi ninyi wapinzani akili huwa mnaweka wapi?Maana tayari kitendo cha ccm kujikuta wako wao peke yao,kimewafanya waanze kufedheheka.Hawana furaha kamwe.Tunaishi nao na tunawasikia.
Maana ushindi wao sio dhidi ya wapinzani,ila ni dhidi ya Tanzania.

Kwa nini msikae kimya kwanza kuliko kuanzisha mapambano sasa?
 
Daah, yaani maandalizi yoote hayo ni kwa ajili ya kufanya vurugu tu.
 
Maandamano ya zanzibar hayakufanikiwa kwasababu ccm wamejaza majeshi yandani nayakukodi kutoka burundi.
 
Ndugu Quinine mbona kama vifungu vingine ni taratibu za kuandaa harusi vile? Hayo mahema utayatayarishaje hapa kwa Mambonow bila kuvamiwa?
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.

Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.

Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Bongo so libya hakuna kitu kitatokeaa wala nn
 
Unafikiri Libya ilianza kama ilivyo? Wananchi wa Libya walikuwa wapole na watulivu kuliko watanzania, Gaddafi akawafikisha kwenye kilele Cha hasira.

Gaddafi wa Tanzania ni jiwe.
Naamnn mgogoro wa libya uta kua huja ufatilia vizuri
Pia inatakiwa ujue kua culture ya wa libya na watanzania ni tofauti sanaa
 
Maandamano ya zanzibar hayakufanikiwa kwasababu ccm wamejaza majeshi yandani nayakukodi kutoka burundi.
Hakuna jeshi la Burundi wala nn Burundi hawawez kutoa wana jeshi wake wakat wao mwenyewe wako hatarini jirani zao kongo kila uchao mambo hovyo na kumbuka wamepakana na majimbo ambayo hayako salama so lazma watie nguvu kulinda maeneo yao
 
Mnatakiwa kujua kua kushindwa kwa wapinzani so dhuluma kwenye mashindano yoyote lazma moja ashinde
 
Back
Top Bottom