Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
TutawalawitiOooh! Wakati ule sikuwa nimedhulumiwa kama Sasa. Nimetumia hela yangu kufanya kampeni halafu unapora ushindi wangu kibwege tu. Hata mtume ametuamrisha kupambana na dhuluma kwa jihad
Unataka kulawitiwa mwenyewe Sasa. Zitto unanzaje kumlawiti?Tutawalawiti
Hana Shimo? Aandamane sasUnataka kulawitiwa mwenyewe Sasa. Zitto unanzaje kumlawiti?
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.
Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.
Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Mkuu acha utani na Watu wenye machungu mioyoni mwao. Hebu pata picha uchungu na hasira kiasi gani mtu aliyebakwa mama yake mzazi anakuwa nayo. Hata kama mbakaji ana nguvu kiasi gani lazima utamtendea jambo fulani la kumuumiza kama siyo kumchinjia mbali.Makamanda njooni barabarani hiyo j3 bila kukosa, tunawasubiri kwa hamu ili tuwanyooshe.
Karibuni..Tarehe 2 November 2020 siku itakayoacha historia katika nchi ya Tanzania, nimejiandaa na nitakuwepo mikate na maji vitu vya muhimu tunaelekea ofisi za NEC kwa waliopo hapa Dar.
Hata kulawitiwa?! ... Ohhh karibuni uwanjaniMkuu acha utani na Watu wenye machungu mioyoni mwao. Hebu pata picha uchungu na hasira kiasi gani mtu aliyebakwa mama yake mzazi anakuwa nayo. Hata kama mbakaji ana nguvu kiasi gani lazima utamtendea jambo fulani la kumuumiza kama siyo kumchinjia mbali.
Nafikiri umenielewa. Watu tuko tayari kwa lolote.
Karibuni..View attachment 1616870
Tanzania kufanikisha maandamano🤔 labda mpike wali-kuku, watu ndo watajitosa kufia hapo, hivihivi POLICE TANZANIA hawafai wale watu mpaka uwe umeshiba🤔Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.
Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.
Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Tarehe 2 November 2020 siku itakayoacha historia katika nchi ya Tanzania, nimejiandaa na nitakuwepo mikate na maji vitu vya muhimu tunaelekea ofisi za NEC kwa waliopo hapa Dar.
Mpaka taarifa ifike PT tujihakikishieSawa kama ni tarehe 2/10/2020 ilishapita na wamefanya usafi, sisi ni tarehe 2/11/2020.tunaandamana kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,hatutakuwa na silaha wala kuharibu Mali ya mtu, ni maandamano ya amani.
Harakati za kudai haki huwa hazitaki watu wengi, na hazitaki watu waoga wa kufa kama wewe! Wewe lala nyumbani na mkeo maana kuwepo kwenye payroll ya serikali kumekupofusha macho,sisi tunatoka kwenda barabarani kupiga ujinga wa watawala kama kuzima Internet na mauwaji ya hovyo kwa kisingizio cha uchaguzi.Biashara ya kuumia au kuumiza mtu kwa maslahi binafsi ya mwanasiasa (tena mwanasiasa mwenyewe kibaraka wa mzungu), mimi, familia yangu na rafiki zangu wenye msimamo kama wangu kamwe hatufanyi!
Wewe ni mtaalamuKuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.
Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.
- Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
- Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
- Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
- Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
- Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
- Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
- Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
- Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
- Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
- Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
- Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
- Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
- Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.
Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.