Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Kwan lisu ataenda Tena lini kununua Nyanya kariakoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tarehe 2 November 2020 siku itakayoacha historia katika nchi ya Tanzania, nimejiandaa na nitakuwepo mikate na maji vitu vya muhimu tunaelekea ofisi za NEC kwa waliopo hapa Dar.
 
Wewe mwenyewe umesema yalikuwa hatari halafu unataka hiyo hatari ije huku
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.

Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.

Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
 
Makamanda njooni barabarani hiyo j3 bila kukosa, tunawasubiri kwa hamu ili tuwanyooshe.
Mkuu acha utani na Watu wenye machungu mioyoni mwao. Hebu pata picha uchungu na hasira kiasi gani mtu aliyebakwa mama yake mzazi anakuwa nayo. Hata kama mbakaji ana nguvu kiasi gani lazima utamtendea jambo fulani la kumuumiza kama siyo kumchinjia mbali.

Nafikiri umenielewa. Watu tuko tayari kwa lolote.
 
Tarehe 2 November 2020 siku itakayoacha historia katika nchi ya Tanzania, nimejiandaa na nitakuwepo mikate na maji vitu vya muhimu tunaelekea ofisi za NEC kwa waliopo hapa Dar.
Karibuni..
JamiiForums-591242837.jpg
 
Mkuu acha utani na Watu wenye machungu mioyoni mwao. Hebu pata picha uchungu na hasira kiasi gani mtu aliyebakwa mama yake mzazi anakuwa nayo. Hata kama mbakaji ana nguvu kiasi gani lazima utamtendea jambo fulani la kumuumiza kama siyo kumchinjia mbali.

Nafikiri umenielewa. Watu tuko tayari kwa lolote.
Hata kulawitiwa?! ... Ohhh karibuni uwanjani
 
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.

Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.

Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Tanzania kufanikisha maandamano🤔 labda mpike wali-kuku, watu ndo watajitosa kufia hapo, hivihivi POLICE TANZANIA hawafai wale watu mpaka uwe umeshiba🤔
 
Tarehe 2 November 2020 siku itakayoacha historia katika nchi ya Tanzania, nimejiandaa na nitakuwepo mikate na maji vitu vya muhimu tunaelekea ofisi za NEC kwa waliopo hapa Dar.

Biashara ya kuumia au kuumiza mtu kwa maslahi binafsi ya mwanasiasa (tena mwanasiasa mwenyewe kibaraka wa mzungu), mimi, familia yangu na rafiki zangu wenye msimamo kama wangu kamwe hatufanyi!
 
Sawa kama ni tarehe 2/10/2020 ilishapita na wamefanya usafi, sisi ni tarehe 2/11/2020.tunaandamana kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,hatutakuwa na silaha wala kuharibu Mali ya mtu, ni maandamano ya amani.
Mpaka taarifa ifike PT tujihakikishie
 
Biashara ya kuumia au kuumiza mtu kwa maslahi binafsi ya mwanasiasa (tena mwanasiasa mwenyewe kibaraka wa mzungu), mimi, familia yangu na rafiki zangu wenye msimamo kama wangu kamwe hatufanyi!
Harakati za kudai haki huwa hazitaki watu wengi, na hazitaki watu waoga wa kufa kama wewe! Wewe lala nyumbani na mkeo maana kuwepo kwenye payroll ya serikali kumekupofusha macho,sisi tunatoka kwenda barabarani kupiga ujinga wa watawala kama kuzima Internet na mauwaji ya hovyo kwa kisingizio cha uchaguzi.
 
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Wewe ni mtaalamu
 
Msipoteze muda kuitisha maandamano kabla ya kufanya tathmini ya kina sababu zilipelekea kushindwa kwenu katika uchaguzi huu.
Ngoja niwasaidie kidogo kuzitaja sababu kuu za kushindwa kwenu katika uchaguzi huu.
(1)KUWADHARAU WATANZANIA.
Hii inatokana na Mgombea(MBELGIJI) kuwaona Watanzania kama wajinga.
Unapomwambia mtu wa Dar es salaam kuwa eti Flyover, Barabara za njia nane na Mabasi ya mwendokasi kuwa si maendeleo wakati watu hao wanaziona na kuziishi faida hizo huko ni kuwafanya watu hao ni wapumbavu kumbe siyo.
(2)Ukimwambia watu kuwa Hospitali/Vituo vya afya vilivyojengwa kipindi cha JPM si maendeleo wakati watu walikuwa wakitembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo na sasa hawatembei umbali mrefu kutafuta huduma hiyo, ujue unajichimbia KABURI wewe mwenyewe.
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.

Utakuwa inahitaji VPN kujiridhisha kuwa Zanzibar hayakufanikiwa.

Kama kufanikiwa au kutofanikiwa inasikitisha TBC, channel 10, star TV na ndugu zake basi utajidanganya sana.
 
sababu za kuandamana tunazo
1. magu ajiuzulu kaiba uchaguzi
2. tunataka tume huru ya uchaguzi
3. uchaguzi urudiwe

tunaiomba dunia iingilie kati tukipigwa risasi na utawala huu haramu.
 
Back
Top Bottom