Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi umeisha watu wakachape kazi, vingine hv ni kupotezeana muda tu.
 
hawa waliosema ushindi ni saa mbili asubuhi wasijue hata wanashindaje,bado unasubiri miujiza kutoka kwao!!!!!
Kwani kulikuwa na uchaguzi au WIZi mtupu?!

Walimaanisha uchaguzi ukiwa HURU na HAKi
 
Above All You Need Money, and lots of it, ...
Lots of money?

If u are really well loaded with money, why on Earth would u want to take part in demonstrations?!

It's usually the impoverished that are the fiercest, for they have nothing to loose!
 
Mkuu...." Izi ndio Hoja na Point Safi kabisa "

Ukipata mda chukua Pepsi Barid Apo gonga Taratibu afu ntakuja kulipa[emoji2956][emoji2956]"
 
Maandamano ya Mange Kimambi yalikua very well organized. Aliwaambia watu waandamane kuelekea wapi katika kila mkoa waliopo. Maandamano yalikua na agenda lakini yalifeli asubuhi mapema sana kabla jogoo kuwika. Kila mtu alijifungia ndani kwake. Ingawa kwenye mitandao watu walihamasika na wengie tulijua maandamano yangeweza kutokea. Lakini ndio hivo hii ndio TZ haijalishi yawe yamepangwa vizuri au hayajapangwa vizuri hakuna anaetaka mambo ya kufa kwa ajili ya mtu mwingine aingie madarakani. Tumeridhika na kidogo tukipatacho
 
Ili mjue kuwa Watanzania ndio waliompigia kura JPM kwa kukubalika kwake, mtaona hiyo siku kama kuna mtu ataandamana.
JPM ni RAIS na NABII. Mkono wa Mungu uliotukomboa kutokana na Janga la CORONA ndio huo huo utakaowapiga GANZI ya mwili mzima wale wote watakaojaribu kuandamana.
Mimi nashauri, msijaribu kuandamana kwani kilichotokea katika uchaguzi huu ni HASIRA za Wananchi wakati wa Kampeni. Kampeni zenu, hasa za MBELGIJI zilijaa Matusi, Kejeli, Visasi, Hasira na kuwaona Watanzania kama hawana akili.
Kuwaambia watu kuwa, Flyover, Mabasi ya mwendokasi, Barabara za njia nane, Vituo vya afya, Maji, Umeme, Elimu bure, SGR, Usafiri wa Anga nk. si Maendeleo wakati watu hao wamepata unafuu mkubwa, huko ni kuwapuuza Watanzania. Sasa wao wameamua kuwapa majibu kwa kutumia Sanduku la kura.
Watu bado wana hasira na Kampeni zetu za kitapeli kama hizo. Nawashauri, msiandamane. Hapo mtaharibu kabisa kabisa.
 
Mimi ninacho waomba wale wanaotaka kuandamana waandamane wenyewe, maana hata walipokuwa wabunge walipwa mishahara ya ubunge hawakuja hadharani na kutugai hiyo mishahara yao
Wananchi wataandamana kwa kuwa kura zao zimeibwa na haki yao ya kuchagua viongozi imekanyagwa
 
Watanzania ninao wajua mm hawatato toka sababu ya WOGA.
Tuna bit nyingi mdomoni lakin hakuna mwenye udhubutu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu Acha mbwembwe.
 
hakikisha unaomba kibali cha kufanya maandamano.
Hujui sheria ww.. Hao polisi ni washirika kwa huo wizi wa kura unaolalamikiwa, watakupa kibali?!

Kwa mujibu wa Katiba (ambayo ipo juu ya sheria na kanuni zoote), maandamano yanatolewa tu taarifa, siyo kuomba kibali.
 
Kaa kimya kuficha ujinga wako
 
Maandwmano kwa nchi za kidikteta ni suecide mission
Better option ilikua ni kutafuta silaha na kuingia porini kupambana
Silaha kwa silaha
Lakini MIKONO mtupu na wengine wanasilaha za kivita
Watauawa watu kadhaa wengine watapata ulemavu na wengi watajikuta jela
Mamilioni ya vijana wapo tayari kupambana na utawala dhalim lakini hawapo tayari kujipeleka wakaumizwe
Kumbuka unapigana na mtu mwenye silaha wewe MIKONO mitupu
 
Wewe nakupa Red card haufai kabisaaa.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mnatishia Libya waliandamana je Libya iko wapi sasa?? Msilete utani na amani
Wee!! Anaye leta utani na amani ni huyo mhutu mwizi. Hatukubali,. Bora nikafe mbele ya kamera kuliko kufa kifara
 
Wewe nakupa Red card haufai kabisaaa.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hata mimi najua Hilo
Kwa kweli kuandamana MIKONO mitupu mbele yenu kuna jeshi lenye silaha za kivita ni akili kweli???
Kama watatupa na sisi silaha tutapambana lakini hivi hivi No!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…