Unadhani ya Tunduma kayafanya Mbowe?yaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.
Sisi huku zanzibar Tumechoka na maandamano yasio na tijayaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.
Bara kumejaa ma keyboard warriors tu hata kurusha kokoto hawaweziWajinga Sana wapuuzi Hawa
Hivi mtu mwenye akili anaweza kwenda kuandamana mbele ya watu wenye silaha za kivita?
Ningewaona ni watu wenye akili kama wangefanya mpango wa kupata silaha ili wapambane
Wazanzibari tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi sio kuandamana halafu twakufa tu
Tumechoka kuona maiti za ndugu zetu
Tangu tar 27 zaidi ya watu wangapi wamekufa?
Wanategemea ICC Mkapa katuua Sana wala hajafanywa chochote
Maelfu ya vijana wanataka mtutu
Kwani polisi hawana family?ICC inamhusu Siro. Mnamponza baba wa watu. Ataacha familia yake.
Hivi kwann polisi mnampigania mwizi?
Unaiamin ICC kuliko nafsi yako? Muulize Kenyatta kaingia makubaliano na Marekani ndio kesi ikafutwa lakini tayari jumba bovu aliangushiwa RutoNauliza maana nimeambiwa Siro hawezi kushtakiwa ICC?
Wacha kupotosha, kuwa serious kchangia hoja, kama huna hoja ficha ujinga wakoMm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.
Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Wewe utakuwa mlamba viatu na mqkombo ya jiwe. Imekula kwako Sasa.Wacha kupotosha, kuwa serious kchangia hoja, kama huna hoja ficha ujinga wako
Haogopi kwenda ICCSiro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Sexless sisi n watanzania, sisi n ndugu, sisi tunajuana. Itoshe kusema kuwa maandamano hayapo, hakuna wa kuandamana.Jiwe anataka tufike kwenye hiyo hatari. Hakika pataxhimbika!!
Kwa taarifa yako mawakala wa vyama walikuwa humo humo vyumbani...Mbinu za wizi zimebadirika. Zamani DED na polisi wake wakikuwa wananyakua masanduku na kukimbia nayo, the reason why watu wakaja na dhana ya “kulinda kura”. Halima na Mbowe walikuwa wanashinda kwa taabu kama unakumbuka
Mwaka huu kura zinachakatwa ndani ya vituo humohumo na wewe unayelinda kura nje hata mita 3 tu huwezi kuzuia.
Ulete mrejesho, hapa ukimaliza hilo la kufundishwa kuheshimu sheria za nchi.Kesho, tutaandamana halafu watupige. Watakaposhitakiwa ndiyo utajua kama threat ama la!
Leo Daniel naftar ngogo aliyekuwa mgombea wa UBUNGE Jimbo la kwela kapanda basi kuelekea dar na akiwa stand amewashukuru wananchi na amekiri kuwa umeshindwa kwa uhalali,,na amewashukuru wote waliomuunga mkono,,,iweje wewe uwambie wananchi wa kwela waandamane,,huo Ni ukilema,,Maandamano hayo yafanyike Tanzania?
Ikiwa tu kupiga kura turn out ni duni, sembuse watu waende mahali wanajua wanaweza pata mkong'oto
Sexless, viongozi wa upinzani miaka 5 ya Serikali ya Awamu wamepinga kila kitu. Isitoshe:Huu ushauri una lengo la kutaka kuchelewesha haki zetu. Kwani wao wakati wanaiba walijipqnga kiasi hicho?
Mbona karatasi za kura zilizagaa mpaka zikawa zinatumika kufungia maandazi.
Lots of money?
If u are really well loaded with money, why on Earth would u want to take part in demonstrations?!
It's usually the impoverished that are the fiercest, for they have nothing to loose!
Sasa hivi tunapinga Magufuli kuwa rais maana hakupata ridhaa ya watanzania.Sexless, viongozi wa upinzani miaka 5 ya Serikali ya Awamu wamepinga kila kitu. Isitoshe:
√ Kuelekea Uchaguzi Mkuu uliofanyika 28/10/2020 wamepinga wanachama kujiandikisha;
√ Wakati wa uteuzi wa wagombea na Tume, wamewapinga baadhi ya wagombea wa vyama vingine;
√ Kwenye kampeni wakapinga vyombo vya habari kuoneshwa mbashara;
√ Wakati wa kupiga kura wakapinga wapiga kura kutimiza haki yao;
√ Kuhesabu kura wakapinga mawakala wao wenyewe;
√ Wamepinga matokeo;
√ Sasa wanapinga watu kuendelea na shughuli zao za maisha (ikiwemo huduma za jamii) ati maandamano yasiyo na mwisho;
Wangepewa madaraka nchi ingekuwaje?
Wazanzibari tupo tayariBara kumejaa ma keyboard warriors tu hata kurusha kokoto hawawezi