Sexless, viongozi wa upinzani miaka 5 ya Serikali ya Awamu wamepinga kila kitu. Isitoshe:
√ Kuelekea Uchaguzi Mkuu uliofanyika 28/10/2020 wamepinga wanachama kujiandikisha;
√ Wakati wa uteuzi wa wagombea na Tume, wamewapinga baadhi ya wagombea wa vyama vingine;
√ Kwenye kampeni wakapinga vyombo vya habari kuoneshwa mbashara;
√ Wakati wa kupiga kura wakapinga wapiga kura kutimiza haki yao;
√ Kuhesabu kura wakapinga mawakala wao wenyewe;
√ Wamepinga matokeo;
√ Sasa wanapinga watu kuendelea na shughuli zao za maisha (ikiwemo huduma za jamii) ati maandamano yasiyo na mwisho;
Wangepewa madaraka nchi ingekuwaje?