Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

yaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.
Unadhani ya Tunduma kayafanya Mbowe?
 
yaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.
Sisi huku zanzibar Tumechoka na maandamano yasio na tija
Zaidi ni kuona vifo vya ndugu zetu na udhalilishwaji wa hali ya juu kwa mabinti zetu
Option iliobaki ni moja tu
Tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi yaliopo hapa pemba
Hata wakituua na sisi tutawaua mwisho watakimbia
Tumechoka kuona damu zetu
 
Wajinga Sana wapuuzi Hawa
Hivi mtu mwenye akili anaweza kwenda kuandamana mbele ya watu wenye silaha za kivita?
Ningewaona ni watu wenye akili kama wangefanya mpango wa kupata silaha ili wapambane

Wazanzibari tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi sio kuandamana halafu twakufa tu
Tumechoka kuona maiti za ndugu zetu
Tangu tar 27 zaidi ya watu wangapi wamekufa?
Wanategemea ICC Mkapa katuua Sana wala hajafanywa chochote

Maelfu ya vijana wanataka mtutu
Bara kumejaa ma keyboard warriors tu hata kurusha kokoto hawawezi
 
ICC inamhusu Siro. Mnamponza baba wa watu. Ataacha familia yake.

Hivi kwann polisi mnampigania mwizi?
Kwani polisi hawana family?

Pakivurugika familia zao zitabaki?

Mengine wanafanya kwa moyo
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Wacha kupotosha, kuwa serious kchangia hoja, kama huna hoja ficha ujinga wako
 
Jiwe anataka tufike kwenye hiyo hatari. Hakika pataxhimbika!!
Sexless sisi n watanzania, sisi n ndugu, sisi tunajuana. Itoshe kusema kuwa maandamano hayapo, hakuna wa kuandamana.

Imeisha hiyo, jipangeni kwa uchaguzi mkuu wa 2025.
 
Maandamano hayo yafanyike Tanzania?

Ikiwa tu kupiga kura turn out ni duni, sembuse watu waende mahali wanajua wanaweza pata mkong'oto
 
Mbinu za wizi zimebadirika. Zamani DED na polisi wake wakikuwa wananyakua masanduku na kukimbia nayo, the reason why watu wakaja na dhana ya “kulinda kura”. Halima na Mbowe walikuwa wanashinda kwa taabu kama unakumbuka

Mwaka huu kura zinachakatwa ndani ya vituo humohumo na wewe unayelinda kura nje hata mita 3 tu huwezi kuzuia.
Kwa taarifa yako mawakala wa vyama walikuwa humo humo vyumbani...
 
Maandamano hayo yafanyike Tanzania?

Ikiwa tu kupiga kura turn out ni duni, sembuse watu waende mahali wanajua wanaweza pata mkong'oto
Leo Daniel naftar ngogo aliyekuwa mgombea wa UBUNGE Jimbo la kwela kapanda basi kuelekea dar na akiwa stand amewashukuru wananchi na amekiri kuwa umeshindwa kwa uhalali,,na amewashukuru wote waliomuunga mkono,,,iweje wewe uwambie wananchi wa kwela waandamane,,huo Ni ukilema,,
 
Huu ushauri una lengo la kutaka kuchelewesha haki zetu. Kwani wao wakati wanaiba walijipqnga kiasi hicho?

Mbona karatasi za kura zilizagaa mpaka zikawa zinatumika kufungia maandazi.
Sexless, viongozi wa upinzani miaka 5 ya Serikali ya Awamu wamepinga kila kitu. Isitoshe:

√ Kuelekea Uchaguzi Mkuu uliofanyika 28/10/2020 wamepinga wanachama kujiandikisha;

√ Wakati wa uteuzi wa wagombea na Tume, wamewapinga baadhi ya wagombea wa vyama vingine;

√ Kwenye kampeni wakapinga vyombo vya habari kuoneshwa mbashara;

√ Wakati wa kupiga kura wakapinga wapiga kura kutimiza haki yao;

√ Kuhesabu kura wakapinga mawakala wao wenyewe;

√ Wamepinga matokeo;

√ Sasa wanapinga watu kuendelea na shughuli zao za maisha (ikiwemo huduma za jamii) ati maandamano yasiyo na mwisho;

Wangepewa madaraka nchi ingekuwaje?
 
Lots of money?

If u are really well loaded with money, why on Earth would u want to take part in demonstrations?!

It's usually the impoverished that are the fiercest, for they have nothing to loose!

Hahaha hakuna masikini anayeingia barabarani bure, hilo halijawahi kutokea popote tangia Binadamu aaenza kuishi Dunia hii, na tajiri hata siku moja huwa haingii barabarani bali anakaa nyuma na kutuma masikini ambao wanakwenda kufa na kuumia kwa ajili yake, kwa hiyo ili uweze kuitisha maandamano na kuitikiwa ni lazima uwe na hela za kuwalipa waandamanaji kwa maana anayeitisha mandamamno huwa hashiriki, utaona kama watoto na familia za tundu, Mbowe, Zito, Mnyika &Co. kama watakuwa mbele kwenye maandamano, hakuna, ...
 
Sexless, viongozi wa upinzani miaka 5 ya Serikali ya Awamu wamepinga kila kitu. Isitoshe:

√ Kuelekea Uchaguzi Mkuu uliofanyika 28/10/2020 wamepinga wanachama kujiandikisha;

√ Wakati wa uteuzi wa wagombea na Tume, wamewapinga baadhi ya wagombea wa vyama vingine;

√ Kwenye kampeni wakapinga vyombo vya habari kuoneshwa mbashara;

√ Wakati wa kupiga kura wakapinga wapiga kura kutimiza haki yao;

√ Kuhesabu kura wakapinga mawakala wao wenyewe;

√ Wamepinga matokeo;

√ Sasa wanapinga watu kuendelea na shughuli zao za maisha (ikiwemo huduma za jamii) ati maandamano yasiyo na mwisho;

Wangepewa madaraka nchi ingekuwaje?
Sasa hivi tunapinga Magufuli kuwa rais maana hakupata ridhaa ya watanzania.
 
Back
Top Bottom