Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Siro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Wewe si ukisema saa 2 asubui tarehe 28 mtakua mmeshamgaragaza mkoloni mweusi nini tena kimetokea
 
Maandamano mbele yenu kuna watu wanatumia silaha za kivita kuwauwa na kuwajeruhi
Ujinga mtupu
Kama maandamano ya amani polisi wakae pembeni
Yes yametangazwa kuwa maandamano ya amani.

Mkishabeba silaha mnapoteza protection ya sheria za kimataifa na hapo mnageuka kuwa unlawful combatants hivyo jeshi linakuwa na haki ya kutumia silaha za kivita kupambana na nyinyi.

We toka kaandamane usibebe fimbo wala panga beba chupa ya maji na taulo tu.
 
Amepoka ushindi kwa kura feki. Sasa tunamtoa kesho kwa maandamano. Ama tufe ama atoke
Kwa hiyo bado ujaamini Kama #niyeye hajafikisha 15%.
Anyway sisi wengine yetu macho
 
Kwa hiyo mnaandama kusema watu mil 1 ni muhimu kuliko mil 12 tuliomchagua Magufuli au Mimi siwaelewi
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Hio ilikuwa kwenye movie ya james bond au terminator?
 
Maandwmano kwa nchi za kidikteta ni suecide mission
Better option ilikua ni kutafuta silaha na kuingia porini kupambana
Silaha kwa silaha
Lakini MIKONO mtupu na wengine wanasilaha za kivita
Watauawa watu kadhaa wengine watapata ulemavu na wengi watajikuta jela
Mamilioni ya vijana wapo tayari kupambana na utawala dhalim lakini hawapo tayari kujipeleka wakaumizwe
Kumbuka unapigana na mtu mwenye silaha wewe MIKONO mitupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuzame mzigoni kitaya
 
tatizo la wapinzani wa tanzania wao wanajifanyaga parfect mno na wamejipa kazi ya kutukana na kutoa vitisho kwa mamlaka alafu muda huo huo wanataka watendewe haki, huu ni upumbavu wa hali ya juu na kama hawapo tayari kuuacha utawagharimu sana kisiasa
Wapuuzi Sana
Kuandamana katika nchi za kidikteta ni suecide mission
Angalia yaliotokea Ivory Cost Jana
Wanaandamana MIKONO mitupu mbele yao kuna askari wenye silaha za kivita,,,

Jambo la kufanya ni kutafuta silaha watu wapambane
Hapa Zanzibar kuna maelfu ya vijana kilio Chao 'tuleteeni silaha tupambane'
Hata wakituua na sisi tutakua tumewaua baadae tutakua huru
Lakini kila siku sisi twafa wao wapo salama
Ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi Kuja bila damu nyingi
Yes yametangazwa kuwa maandamano ya amani.

Mkishabeba silaha mnapoteza protection ya sheria za kimataifa na hapo mnageuka kuwa unlawful combatants hivyo jeshi linakuwa na haki ya kutumia silaha za kivita kupambana na nyinyi.

We toka kaandamane usibebe fimbo wala panga beba chupa ya maji na taulo tu.
Utanimbia wangapi watakufa
 
Wapuuzi Sana
Kuandamana katika nchi za kidikteta ni suecide mission
Angalia yaliotokea Ivory Cost Jana
Wanaandamana MIKONO mitupu mbele yao kuna askari wenye silaha za kivita,,,

Jambo la kufanya ni kutafuta silaha watu wapambane
Hapa Zanzibar kuna maelfu ya vijana kilio Chao 'tuleteeni silaha tupambane'
Hata wakituua na sisi tutakua tumewaua baadae tutakua huru
Lakini kila siku sisi twafa wao wapo salama
Ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi Kuja bila damu nyingi

Utanimbia wangapi watakufa
Unataka waunde kundi la waasi ?
 
Amepoka ushindi kwa kura feki. Sasa tunamtoa kesho kwa maandamano. Ama tufe ama atoke
yaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.
 
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Ukifata hii process hutafika mwisho.
 
Na sio leo tuu miaka karibia yote ya uchaguzi zanzibar lazima vifo vitokee haswa Pemba, atuambie ni wangapi wamepelekwa ICC mpaka leo?
Ujinga mtupu
Wazanzibari tunataka silaha za kupambana na majeshi ya Burundi yaliopo hapa
Sasa.... Basi
Tumechoka kuona damu za ndugu zetu
 
Siro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Hihihi mnaanzaga hivihivi halafu baadae mnakuja kulialia ...kabla ya uchaguzi mikwara mingii kumbe weupe .....J3 kesho tu acha tupate burudani
 
Hapana peaceful demonstration ndiyo njia bora zaidi
Peace full while there are police in front of you with big weapon?
There is nothing peaceful demonstration in Africa
How many Zanzibarian are killed every day?
Sasa.. Basi
Wazanzibari tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi yalioletwa na Magufuli hapa pemba
 
Hihihi mnaanzaga hivihivi halafu baadae mnakuja kulialia ...kabla ya uchaguzi mikwara mingii kumbe weupe .....J3 kesho tu acha tupate burudani
Wajinga Sana wapuuzi Hawa
Hivi mtu mwenye akili anaweza kwenda kuandamana mbele ya watu wenye silaha za kivita?
Ningewaona ni watu wenye akili kama wangefanya mpango wa kupata silaha ili wapambane

Wazanzibari tunataka silaha tupambane na majeshi ya Burundi sio kuandamana halafu twakufa tu
Tumechoka kuona maiti za ndugu zetu
Tangu tar 27 zaidi ya watu wangapi wamekufa?
Wanategemea ICC Mkapa katuua Sana wala hajafanywa chochote

Maelfu ya vijana wanataka mtutu
 
Back
Top Bottom