Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,793
- 3,709
Wewe si ukisema saa 2 asubui tarehe 28 mtakua mmeshamgaragaza mkoloni mweusi nini tena kimetokeaSiro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ukisema saa 2 asubui tarehe 28 mtakua mmeshamgaragaza mkoloni mweusi nini tena kimetokeaSiro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Maandamano mbele yenu kuna watu wanatumia silaha za kivita kuwauwa na kuwajeruhiHawajatangaza vita wametangaza maandamano
Amepoka ushindi kwa kura feki. Sasa tunamtoa kesho kwa maandamano. Ama tufe ama atokeWewe si ukisema saa 2 asubui tarehe 28 mtakua mmeshamgaragaza mkoloni mweusi nini tena kimetokea
Yes yametangazwa kuwa maandamano ya amani.Maandamano mbele yenu kuna watu wanatumia silaha za kivita kuwauwa na kuwajeruhi
Ujinga mtupu
Kama maandamano ya amani polisi wakae pembeni
Kwa hiyo bado ujaamini Kama #niyeye hajafikisha 15%.Amepoka ushindi kwa kura feki. Sasa tunamtoa kesho kwa maandamano. Ama tufe ama atoke
Hio ilikuwa kwenye movie ya james bond au terminator?Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.
Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuzame mzigoni kitayaMaandwmano kwa nchi za kidikteta ni suecide mission
Better option ilikua ni kutafuta silaha na kuingia porini kupambana
Silaha kwa silaha
Lakini MIKONO mtupu na wengine wanasilaha za kivita
Watauawa watu kadhaa wengine watapata ulemavu na wengi watajikuta jela
Mamilioni ya vijana wapo tayari kupambana na utawala dhalim lakini hawapo tayari kujipeleka wakaumizwe
Kumbuka unapigana na mtu mwenye silaha wewe MIKONO mitupu
Wapuuzi Sanatatizo la wapinzani wa tanzania wao wanajifanyaga parfect mno na wamejipa kazi ya kutukana na kutoa vitisho kwa mamlaka alafu muda huo huo wanataka watendewe haki, huu ni upumbavu wa hali ya juu na kama hawapo tayari kuuacha utawagharimu sana kisiasa
Utanimbia wangapi watakufaYes yametangazwa kuwa maandamano ya amani.
Mkishabeba silaha mnapoteza protection ya sheria za kimataifa na hapo mnageuka kuwa unlawful combatants hivyo jeshi linakuwa na haki ya kutumia silaha za kivita kupambana na nyinyi.
We toka kaandamane usibebe fimbo wala panga beba chupa ya maji na taulo tu.
Unataka waunde kundi la waasi ?Wapuuzi Sana
Kuandamana katika nchi za kidikteta ni suecide mission
Angalia yaliotokea Ivory Cost Jana
Wanaandamana MIKONO mitupu mbele yao kuna askari wenye silaha za kivita,,,
Jambo la kufanya ni kutafuta silaha watu wapambane
Hapa Zanzibar kuna maelfu ya vijana kilio Chao 'tuleteeni silaha tupambane'
Hata wakituua na sisi tutakua tumewaua baadae tutakua huru
Lakini kila siku sisi twafa wao wapo salama
Ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi Kuja bila damu nyingi
Utanimbia wangapi watakufa
Wazanzibari wangapi wameshauawa hadi sasa?Hapana. Silaha haitumiki kwa mtu asiye na silaha. Amnesty international inasema hivyo.
Sasa Siro akituua kesho icc itamhusu. Ataiacha familia yake.
yaaani wewe mbwembwe nyiiiingiii, ungekua na nia ya kuandamana ungeshaandamana hata kabla ya hilo tangazo la Viongozi wako. Uchungu wa mtu yeyote yule anayedai haki hasubiri mpaka kiongozi aseme huwa anafanya kiongozi anachoweza kuja kukifanya either kuchochea zaidi au kuwatuliza basi.Amepoka ushindi kwa kura feki. Sasa tunamtoa kesho kwa maandamano. Ama tufe ama atoke
Na sio leo tuu miaka karibia yote ya uchaguzi zanzibar lazima vifo vitokee haswa Pemba, atuambie ni wangapi wamepelekwa ICC mpaka leo?Wazanzibari wangapi wameshauawa hadi sasa?
Ukifata hii process hutafika mwisho.Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.
Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.
- Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
- Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
- Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
- Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
- Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
- Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
- Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
- Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
- Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
- Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
- Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
- Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
- Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Mimi nafikiri wataitwa wapigania DemokrasiUnataka waunde kundi la waasi
Hapana peaceful demonstration ndiyo njia bora zaidiMimi nafikiri wataitwa wapigania Demokrasi
Ujinga mtupuNa sio leo tuu miaka karibia yote ya uchaguzi zanzibar lazima vifo vitokee haswa Pemba, atuambie ni wangapi wamepelekwa ICC mpaka leo?
Hihihi mnaanzaga hivihivi halafu baadae mnakuja kulialia ...kabla ya uchaguzi mikwara mingii kumbe weupe .....J3 kesho tu acha tupate burudaniSiro usicheze na maandamano haya. Utaishia ICC, utaiacha familia yako.
Peace full while there are police in front of you with big weapon?Hapana peaceful demonstration ndiyo njia bora zaidi
Wajinga Sana wapuuzi HawaHihihi mnaanzaga hivihivi halafu baadae mnakuja kulialia ...kabla ya uchaguzi mikwara mingii kumbe weupe .....J3 kesho tu acha tupate burudani