Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Maandamano ya Seif yalifanikiwa pakubwa sana,tena yamezidi kupaisha mayowe ya kumfukuza Nunda mla watu.
Tuone hao wabunge wenu sasa, lazima watavaa mabuibui na viatu vya kuchuchumia.
 
Hahaha hakuna masikini anayeingia barabarani bure, hilo halijawahi kutokea popote tangia Binadamu aaenza kuishi Dunia hii, na tajiri hata siku moja huwa haingii barabarani bali anakaa nyuma na kutuma masikini ambao wanakwenda kufa na kuumia kwa ajili yake, kwa hiyo ili uweze kuitisha maandamano na kuitikiwa ni lazima uwe na hela za kuwalipa waandamanaji kwa maana anayeitisha mandamamno huwa hashiriki, utaona kama watoto na familia za tundu, Mbowe, Zito, Mnyika &Co. kama watakuwa mbele kwenye maandamano, hakuna, ...
Acha porojo mkuu. Tunataka demokrasia ya kweli. Siyo huu ujinga wa aliyeshinda kuwekwa pembeni, afu anatawala pimbi aliyeangukia pua kwny sanduku la kura. Never
 
Acha porojo mkuu. Tunataka demokrasia ya kweli. Siyo huu ujinga wa aliyeshinda kuwekwa pembeni, afu anatawala pimbi aliyeangukia pua kwny sanduku la kura. Never

Kwa hiyo kama unataka hiyo unayoiita demokrasia mimi nifanyeje sasa? Si uichukue nani kakuzuia?
 
Maandamano ya Mange Kimambi yalikua very well organized. Aliwaambia watu waandamane kuelekea wapi katika kila mkoa waliopo. Maandamano yalikua na agenda lakini yalifeli asubuhi mapema sana kabla jogoo kuwika. Kila mtu alijifungia ndani kwake. Ingawa kwenye mitandao watu walihamasika na wengie tulijua maandamano yangeweza kutokea. Lakini ndio hivo hii ndio TZ haijalishi yawe yamepangwa vizuri au hayajapangwa vizuri hakuna anaetaka mambo ya kufa kwa ajili ya mtu mwingine aingie madarakani. Tumeridhika na kidogo tukipatacho
Sababu kubwa ya kufeli kwa maandamano ya Mange ni mhamasishaji mkuu kuwa mbali na eneo la tukio.
 
Maandamano mbele ya watu wenye silaha za kivita ni suicide mission
Wazanzibari Tumechoka kuona damu za watu wetu tangu enzi za mkapa tunauawa tu
Sasa na sisi tunataka tupewe silaha tupambane na majeshi ya Burundi yaliopo hapa pemba
Bila silaha ni mauaji ya wazanzibari tu
Wallah tukipata mtutu huku watakimbia tu
Tumechoka kuona damu za watu wetu
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Hahahahahaha nacheka kama mazuri,
Huu ujasiri wanao wakereketwa wa dini sio wa siasa.
 
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Wanavyopewa za uso huko instance, sijui kama watapata usingizi Leo!
 
Hahahahahaha nacheka kama mazuri,
Huu ujasiri wanao wakereketwa wa dini sio wa siasa.
Wajinga Hawa
Wanataka kuandamana mbele yao kuna watu Wana silaha za kivita
Kama wanaakili watafute bunduki ili wapambane
Huku zanzibar kuna maelfu ya vijana wapo tayari na wanataka mtutu wapigane na majeshi ya Burundi yalioletwa pemba
 
Watanzania tuna mikwara sijawahi ona😀😀. Mtu real id kaficha, jinsia kaficha ila anataka kutuaminisha kuwa yuko tayari kwa lolote! Si mngeanza hata kwa kutumia verified IDs ili siku yenyewe tukiwaona tuwatambue au msipotokea tuwakumbushe kwamba mliahidi kuwa front line ila hatuwaoni.. Serious kwangu Sexless na Simba zee 33 mnachokifanya hapa ni utoto
 
Watanzania tuna mikwara sijawahi ona😀😀. Mtu real id kaficha, jinsia kaficha ila anataka kutuaminisha kuwa yuko tayari kwa lolote! Si mngeanza hata kwa kutumia verified IDs ili siku yenyewe tukiwaona tuwatambue au msipotokea tuwakumbushe kwamba mliahidi kuwa front line ila hatuwaoni.. Serious kwangu Sexless na Simba zee 33 mnachokifanya hapa ni utoto
Mimi nipo Pemba
Napinga maandamano yasiokua na tija
Kuna maelfu ya vijana wapo tayari kushika mtutu sio kuandamana mbele ya watu wenye silaha za kivita
Tumeuawa Sana wakati wa mkapa.. Tulipumzika wakati wa Jakaya... Sasa zaidi ya watu 50 wameuwawa na majeshi ya Burundi
Wallah tukipata mtutu Haya majeshi ya Burundi ambao hata kiswahili hawajui wataondoka tu
 
Mimi nafikiri ingekuwa vizuri kwanza kujua huku mitaani watu wamepokeaje hayo matokeo ya uchaguzi kuliko kukimbilia kutangaza maandamano tu.
 
Sexless jitangaze jina lako na unaishi wapi ili tukuone kwenye maandamano

Mimi nitakua nikikata kichwa kimoja kimoja maana damu yenu chafu inawawasha
Mimi nawadharau Sana watu wanaoenda kuandamana kijinga
Wanajua kabisa mbele yao kuna watu wanasilaha za kivita wao wapo MIKONO mitupu,,, ujinga huu

Kama wapo serious huku Zanzibar kuna maelfu ya vijana wanataka silaha ili waweze kupambana Ndio patakua patamu
Kilio cha Wazanzibari kwa Sasa ni mtutu ili tuheshimiane
 
Wanakwenda kudharirika,maana hakuna mtu atakayejitokeza,maandamano yanataja tu tarehe,hakuna pahala pa kukutania kuanzia mda gani
 
Sababu kubwa ya kufeli kwa maandamano ya Mange ni mhamasishaji mkuu kuwa mbali na eneo la tukio.
Weee nani kasema. Watu waliogopa kipigo cha mbwa koko. Kila ukitaka kutoka ndani unasikia sauti utapigwa uchakae na ukijua kuwa hawa watu hawashindwi unatulia zako ndani
 
Wale raia wa belarusi wanaondamana kumtaka rais wao aondoke madarakani kama wangekaa waanze kuwaza hayo wasingefika hatua waliyofikia kwa sababu, maandamano hupata uungwaji mkono mara baada ya hayo maandamano kulipuka na kuenea lakini hivi hivi sahau.Raia wakichoka wataamka wenyewe hata hawataitaji viongozi wa kisiasa wawahamasishe.
 
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.

Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.

Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Umesema Libya kumbuka hii Tanzania na sijaona wakuandamana kabisa.

Hivi yale maandamano ya Mange yalifikia wapi?
 
Maandamano mbele ya watu wenye silaha za kivita ni suicide mission
Wazanzibari Tumechoka kuona damu za watu wetu tangu enzi za mkapa tunauawa tu
Sasa na sisi tunataka tupewe silaha tupambane na majeshi ya Burundi yaliopo hapa pemba
Bila silaha ni mauaji ya wazanzibari tu
Wallah tukipata mtutu huku watakimbia tu
Tumechoka kuona damu za watu wetu
Kwan ktk mikutano yake lissu alitaja mahakama ya kadhi na sheria za kiislam?,,au ndo kusaliti Iman za wapemba kisa unafiki wa siasa,,,unawaongopea wa zanzibar,,sidhan Kama vyombo husika hasa vya nje vitachukua hatua za kuikomboa Zanzibar ili Hali wanasema waislam wote Ni magaidi,,
 
Back
Top Bottom