Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha porojo mkuu. Tunataka demokrasia ya kweli. Siyo huu ujinga wa aliyeshinda kuwekwa pembeni, afu anatawala pimbi aliyeangukia pua kwny sanduku la kura. NeverHahaha hakuna masikini anayeingia barabarani bure, hilo halijawahi kutokea popote tangia Binadamu aaenza kuishi Dunia hii, na tajiri hata siku moja huwa haingii barabarani bali anakaa nyuma na kutuma masikini ambao wanakwenda kufa na kuumia kwa ajili yake, kwa hiyo ili uweze kuitisha maandamano na kuitikiwa ni lazima uwe na hela za kuwalipa waandamanaji kwa maana anayeitisha mandamamno huwa hashiriki, utaona kama watoto na familia za tundu, Mbowe, Zito, Mnyika &Co. kama watakuwa mbele kwenye maandamano, hakuna, ...
Acha porojo mkuu. Tunataka demokrasia ya kweli. Siyo huu ujinga wa aliyeshinda kuwekwa pembeni, afu anatawala pimbi aliyeangukia pua kwny sanduku la kura. Never
Sababu kubwa ya kufeli kwa maandamano ya Mange ni mhamasishaji mkuu kuwa mbali na eneo la tukio.Maandamano ya Mange Kimambi yalikua very well organized. Aliwaambia watu waandamane kuelekea wapi katika kila mkoa waliopo. Maandamano yalikua na agenda lakini yalifeli asubuhi mapema sana kabla jogoo kuwika. Kila mtu alijifungia ndani kwake. Ingawa kwenye mitandao watu walihamasika na wengie tulijua maandamano yangeweza kutokea. Lakini ndio hivo hii ndio TZ haijalishi yawe yamepangwa vizuri au hayajapangwa vizuri hakuna anaetaka mambo ya kufa kwa ajili ya mtu mwingine aingie madarakani. Tumeridhika na kidogo tukipatacho
Hahahahahaha nacheka kama mazuri,Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.
Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Siasa ni imani, kama ilivyo imani ya dini.Hahahahahaha nacheka kama mazuri,
Huu ujasiri wanao wakereketwa wa dini sio wa siasa.
Sawa kaka mkubwa kila la kheirSiasa ni imani, kama ilivyo imani ya dini.
Wanavyopewa za uso huko instance, sijui kama watapata usingizi Leo!Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.
Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.
- Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
- Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
- Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
- Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
- Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
- Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
- Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
- Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
- Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
- Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
- Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
- Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
- Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.
Wajinga HawaHahahahahaha nacheka kama mazuri,
Huu ujasiri wanao wakereketwa wa dini sio wa siasa.
Mimi nipo PembaWatanzania tuna mikwara sijawahi ona😀😀. Mtu real id kaficha, jinsia kaficha ila anataka kutuaminisha kuwa yuko tayari kwa lolote! Si mngeanza hata kwa kutumia verified IDs ili siku yenyewe tukiwaona tuwatambue au msipotokea tuwakumbushe kwamba mliahidi kuwa front line ila hatuwaoni.. Serious kwangu Sexless na Simba zee 33 mnachokifanya hapa ni utoto
Mimi nawadharau Sana watu wanaoenda kuandamana kijingaSexless jitangaze jina lako na unaishi wapi ili tukuone kwenye maandamano
Mimi nitakua nikikata kichwa kimoja kimoja maana damu yenu chafu inawawasha
Weee nani kasema. Watu waliogopa kipigo cha mbwa koko. Kila ukitaka kutoka ndani unasikia sauti utapigwa uchakae na ukijua kuwa hawa watu hawashindwi unatulia zako ndaniSababu kubwa ya kufeli kwa maandamano ya Mange ni mhamasishaji mkuu kuwa mbali na eneo la tukio.
Umesema Libya kumbuka hii Tanzania na sijaona wakuandamana kabisa.Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.
Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.
Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Kwan ktk mikutano yake lissu alitaja mahakama ya kadhi na sheria za kiislam?,,au ndo kusaliti Iman za wapemba kisa unafiki wa siasa,,,unawaongopea wa zanzibar,,sidhan Kama vyombo husika hasa vya nje vitachukua hatua za kuikomboa Zanzibar ili Hali wanasema waislam wote Ni magaidi,,Maandamano mbele ya watu wenye silaha za kivita ni suicide mission
Wazanzibari Tumechoka kuona damu za watu wetu tangu enzi za mkapa tunauawa tu
Sasa na sisi tunataka tupewe silaha tupambane na majeshi ya Burundi yaliopo hapa pemba
Bila silaha ni mauaji ya wazanzibari tu
Wallah tukipata mtutu huku watakimbia tu
Tumechoka kuona damu za watu wetu